I AM WOMAN…. A Woman I am… HAPPY WOMAN's Day to My Fellow Women.

I AM WOMAN…. A Woman I am… HAPPY WOMAN's Day to My Fellow Women.

Thanks AshaDii kwa kutukumbushia umuhimu wetu na raha ya kuwa mwanamke, napenda nilivyo na nafurahia hii siku ya wanawake pamoja na wenzangu wooote duniani, napenda kuwa najitambua vizuri tu, na maamuzi yangu napenda yanavyofanya maisha yangu na family yangu.
Napenda pia watu muhimu na wa karibu yangu wananipenda na kutambua umuhimu wangu katika maisha yao, wanawake tujiamini, tujipende, na tusiogope kufanya maamuzi tunayoona yanaleta furaha maishani mwetu.
 
This all sums up to a Multi-Faceted Creature...and explains why you never know with women! You may think she is now a lady leaning on you kumbe she is in a manhood mood and you must simply give way for her to pass. Yes, you never know with women! Happy to you all...Women out there!
 
God has to be a woman, ndio maana akaona mwanamke anafaa sana katika kumsaidia kazi kubwa ya creation; angekuwa mwanaume, kina baba ndio mngekuwa mnabeba mimba na kutuzaa!

So you disagree with the scriptures?
 
Happy Women's day....what a brilliant woma I have!


Wow...Sweetie leo nitaomba uwe a gal....lol

“Since we all came from a women, got our name from a women, and our game from a women. I wonder why we take from women, why we rape our women, do we hate our women? I think its time we killed for our women, be real to our women, try to heal our women, cus if we dont we'll have a race of babies that will hate the ladies, who make the babies. And since a man can't make one he has no right to tell a women when and where to create one” ― Tupac Shakur
 
Yaani tumetofautiana sana. Yaani hakuna kitu nachomshukuru Mungu kama kuniumba Mwanaume.
Lakini pia namshukuru Mungu sana kuniletea wanawake ukiwemo wewe.

Mbavu zangu mzee mwenzangu....!!

Ndo maana huwa juna sala inaishia hivi,


..."Libarikiwe tumbo lilozaa hiki kiumbe kinachofurahisha sana kiasi hiki..."

Babu DC
 
Huu sasa umbea wa mchana, na usipoangalia utasutwa siku sio nyingi wifi lol...

@ Paw mbona mke mwenza King'asti haonekani jf?... Umempeleka wapi?

@ AshaDii a.k.a sweet wifi, sina cha kuongeza / kueleza zaidi wajua fika mie wifi ako kipenzi sijajaliwa kuwa na maneno mengi, najisikia uvivu leo, we acha tu mpendwa!

(Ukiwa free baadae nidipu nna bonge la mchapo hii ni more than serious)



Ninavo penda umbea!! Nilishindwa vumilia... Had to cal kabla sijakujibu hapa! lol Thanks Dear...

King na Paw wamenuniana.... lol

I know wifi, Ila tu matendo yako mimi na kaka twayakubali saana. Tubarikiwe woote na Asante kwa kunisimamia. Your bro will be proud.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Asante Mungu kwa kuniumba jinsi nilivyo.............. I am grateful!
Happy women's day all JF ladies.................

Thanks FP... Na same goes Dearest.... Same goes....

Happy to see your here pal.

I am around but booked pal.
Nawafurahia JF members and especial women ktk kusheherekea siku hii ya wanawake duniani.


Pole Pal... Itabidi tutangaze nafasi ya assistant, you need a break once in a while.

Me as a woman and on behalf of all twafurahi kutambua kwako siku yetu hii... Do take care Paw...
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Fidel that makes me proud of you.... Alafu vipi usha pata wa kufall in Love nae?? Maana sijakuona na hio was our last discussion...lol..

Sijapata bado nasikia kufall in love hakuna formula hapo sasa nashindwa
 
Happy woman's day ladies. . .
Being a woman is a gift...tutumie uanawake wetu vizuri katika kila tunachofanya ili tuache kuonekana watu wenye roho mbaya na wadhaifu kupitiliza. WE ARE BETTER THAN THAT.
 
the same to u darling

C'mon Aminata... Sema Why you Love being a Woman.... lol... Hope you are well and good.

I can and have handled a ton of rejection, but this one pissed me off and oddly, keep me smiling please

hahahah.... Kid sis I like the Fact kua you are Pissed off and smilling at the same time... that is kind of sweet.

Nipo ila majukumu yamenizidi umri dear japo mara moja moja huwa nakuja kucheka huku kuongeza maisha.Lakn kura nilipiga na nasubiri mwaliko wa party........


hahahah.... Wewe Tena?? Huwezi kosa bana, lazima uwepo. Vipi interest ya Politics yaendelea vipi? Nataka kujiunga naambiwa na most Siasa wanawake kumepwaya... hahaha
 
It is the heart that makes a pretty woman
Have a very HAPPY WOMEN’D DAY
 
Ninavo penda umbea!! Nilishindwa vumilia... Had to cal kabla sijakujibu hapa! lol Thanks Dear...

King na Paw wamenuniana.... lol

I know wifi, Ila tu matendo yako mimi na kaka twayakubali saana. Tubarikiwe woote na Asante kwa kunisimamia. Your bro will be proud.
Lol, wifi umenivimbisha likichwa!...

Leo kweli nimeamini wapenda umbea wifi khaaa, yaani unadipu mfululizo kama mwanafunzi wa form two b?...

Nakupenda wifi yangu ni vile hujui tu, katika watu niliowafungia ndani ya moyo wangu wewe u miongoni mwao, so lazima nikusimamie na kukulinda ingawaje sina binduki kama ya mke mwe King nakulinda kwa 'sala' zaidi wifi...


Ntapita hapo kwenu jioni unipe kwa kirefu kuhusu Paw na wife wake! Na dina ntapata hapo hapo, ongeza bajeti!...

Ubarikiwe sana wifi!
 
C'mon Aminata... Sema Why you Love being a Woman.... lol... Hope you are well and good.



hahahah.... Kid sis I like the Fact kua you are Pissed off and smilling at the same time... that is kind of sweet.




hahahah.... Wewe Tena?? Huwezi kosa bana, lazima uwepo. Vipi interest ya Politics yaendelea vipi? Nataka kujiunga naambiwa na most Siasa wanawake kumepwaya... hahaha
Mhhh Siasa tena??Kule watu wana stress mbaya.Unaweza pata ugonjwa wa moyo hivi unaona kwani huko hakunaga taarifa njema.Kila siku migomo na maandamano.Atleast huku japo kuna migomo ya kupika lakn hata valentine zipo..Hata hivo i think unao ubavu huo hivo mie nitakuunga mkono.Ila unatakiwa uonane na FF akupe tuition kidogo.
 
Happy woman's day Everybody, I will be back nikisha soma michango yote, there is a lot to learn from you all. One love!
 
Hongereni sana wanawake...tupene mapenzi siku zote....tupeni....tupeni...siku zote.

Mbarikiwe sana, namini wazi kila mwanamke huwa ana siku zake hapa dunaiani sio hio tu.
 
Back
Top Bottom