God has to be a woman, ndio maana akaona mwanamke anafaa sana katika kumsaidia kazi kubwa ya creation; angekuwa mwanaume, kina baba ndio mngekuwa mnabeba mimba na kutuzaa!
to be frank I dont know. But thats how the people around me address God.
Happy Women's day....what a brilliant woma I have!
Wow...Sweetie leo nitaomba uwe a gal....lol
Yaani tumetofautiana sana. Yaani hakuna kitu nachomshukuru Mungu kama kuniumba Mwanaume.
Lakini pia namshukuru Mungu sana kuniletea wanawake ukiwemo wewe.
Huu sasa umbea wa mchana, na usipoangalia utasutwa siku sio nyingi wifi lol...
@ Paw mbona mke mwenza King'asti haonekani jf?... Umempeleka wapi?
@ AshaDii a.k.a sweet wifi, sina cha kuongeza / kueleza zaidi wajua fika mie wifi ako kipenzi sijajaliwa kuwa na maneno mengi, najisikia uvivu leo, we acha tu mpendwa!
(Ukiwa free baadae nidipu nna bonge la mchapo hii ni more than serious)
Asante Mungu kwa kuniumba jinsi nilivyo.............. I am grateful!
Happy women's day all JF ladies.................
Happy to see your here pal.
I am around but booked pal.
Nawafurahia JF members and especial women ktk kusheherekea siku hii ya wanawake duniani.
Fidel that makes me proud of you.... Alafu vipi usha pata wa kufall in Love nae?? Maana sijakuona na hio was our last discussion...lol..
the same to u darling
I can and have handled a ton of rejection, but this one pissed me off and oddly, keep me smiling please
Nipo ila majukumu yamenizidi umri dear japo mara moja moja huwa nakuja kucheka huku kuongeza maisha.Lakn kura nilipiga na nasubiri mwaliko wa party........
Lol, wifi umenivimbisha likichwa!...Ninavo penda umbea!! Nilishindwa vumilia... Had to cal kabla sijakujibu hapa! lol Thanks Dear...
King na Paw wamenuniana.... lol
I know wifi, Ila tu matendo yako mimi na kaka twayakubali saana. Tubarikiwe woote na Asante kwa kunisimamia. Your bro will be proud.
Mhhh Siasa tena??Kule watu wana stress mbaya.Unaweza pata ugonjwa wa moyo hivi unaona kwani huko hakunaga taarifa njema.Kila siku migomo na maandamano.Atleast huku japo kuna migomo ya kupika lakn hata valentine zipo..Hata hivo i think unao ubavu huo hivo mie nitakuunga mkono.Ila unatakiwa uonane na FF akupe tuition kidogo.C'mon Aminata... Sema Why you Love being a Woman.... lol... Hope you are well and good.
hahahah.... Kid sis I like the Fact kua you are Pissed off and smilling at the same time... that is kind of sweet.
hahahah.... Wewe Tena?? Huwezi kosa bana, lazima uwepo. Vipi interest ya Politics yaendelea vipi? Nataka kujiunga naambiwa na most Siasa wanawake kumepwaya... hahaha
Jamani nimekumiss we mdada, ndio nini kujificha hivyo?Asante ADii kwa msg nzuri uwe na siku njema