Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
hahahaha...... Hivi bado inatakiwa tuitwe wana bejingii? lol
Asante Maganga.... I hope you have some worthwhile Woman beside you....
teh teh au tuwaite MKIWEZESHWA MNAWEZA ... mie bado nadeka kwa MAMA kwani ni yeye mpaka leo nikiumwa ananikumbusha kumaliza DOZI maana ndio ugomvi kubwa kati yetu... I LOVE YOU MAMA....