The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Wakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba mataji yote 4 aliyoshiriki msimu huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako walishatabiri mapema sanaWakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba matahi yote 4 aliyoshiriki msimu huu.
Yeye ni naniiiIkiwa Usm alger atapita basi mtakua na kibarua kigumu
Dua za kichawi zindweeeee...... shindwa pepo litutumbweTujifunze kuweka akiba ya maneno
Ila alishiriki pia Kombe la Mabingwa Afrika na hakuchukua, au hilo tusilihesabu?Wakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba mataji yote 4 aliyoshiriki msimu huu.
Hongereni ila hizo ngao na hayo makombe mabaya jamani tuache utani. Hayaendani kabisa na hadhi tunayoyapa hayo mashindano huku mtaani.Kwa hisani ya Nabi prof la mpira Tanzania Yanga Afrika. View attachment 2617018
mshamba_hachekwiDua za kichawi zindweeeee...... shindwa pepo litutumbwe
Na ikawe hivyoWakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba mataji yote 4 aliyoshiriki msimu huu.