I can not recharge my Zantel Modem

I can not recharge my Zantel Modem

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Wakuu,
Natumia hii C-Motech EVDO Modem ya Zantel ila ina kwikwi kwenye ku-recharge, kila niki-recharge inatoa error ifuatayo;

The MSISDN is Idle or is invalid.


Any one to help please especially form Zantel!
 
Jaribu kuwasiliana na Customer Care wao,au nenda ofisi zao,nasikia ni mitaa ya Mikocheni .........
 
Nenda Zantel Drive Inn karibu na kitivo ah sorry karibu na ubalozi wa US
 
If you have a zantel gsm line, please dia *775#, kuna menu itatokea, chagua menu 2 ambayo ni "Recharge inquiry", utaingiza namba yako ya modem then utaingiza namba ya voucher. Baada ya few seconds utapata msg ku-confirm kama credit imeingia. For more info please call toll free number from ur Zantel line [15096] or send an email to: <r.tarimu@zantel.co.tz>
 
Back
Top Bottom