I can't enjoy sex

I can't enjoy sex

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,437
Reaction score
1,027
Naomba msaada wana jf,mke wangu kajifungua mwezi mmoja uliopita.Tatizo ni kwamba sijui ni njia ipi bora ya uzazi wa mpango isiyo na madhara kwani sasa natumia kondom inayonifanya nisi enjoy ladha halisi ya mapenzi,plz msaada wenu wakuu.
 
ka mwezi kamoja,mshaanza kubinjuana mnh:smash:
 
Naomba msaada wana jf,mke wangu kajifungua mwezi mmoja uliopita.Tatizo ni kwamba sijui ni njia ipi bora ya uzazi wa mpango isiyo na madhara kwani sasa natumia kondom inayonifanya nisi enjoy ladha halisi ya mapenzi,plz msaada wenu wakuu.

Pole Jag.
Tatizo ni kuwa muda mwingi ulizoea kula Plain ndo maana kwa ndomu hainogi. Anyway,U were doing this with ur wife! If you are capable na kama una ujasiri na pumzi ya kutosha use the withdrawal style....but it is very risk na unatakiwa uwe ulishawahi to do it na siyo ujifunze saiz otherwise mtabemenda huyo mtoto na itakuwa ni aibu tupu!! Bad enough ogopa mimba ya2 wakati huyo mtoto ndo hasaa bado. Hey watch out and wait comments za watalaam ili zikusaidie zaidi.
 
Kuna njia nyingi lakini miongoni mwa hizo ni kutumia vijiti ambayo huwekewa mwanamke sehemu za mkono na daktari, kuna njia za vidonge, kuna njia ya mikanda, kuna njia ya vitanzi n.k wewe nenda hospitalini utapata njia zote, zipo nyingi sana.
 
Unachoogopa ni nini kwani...!!!????Maana ushauri mzuri utaupata endapo utasema wasiwasi wako ni nini hapo.Kwani kama mtoto ni wako hakuna tatizo takalopata,na kama ni mimba haiwezi kutunga mimba inginee hadi miezi sita kama mtoto atakuwa ananyonya vizuri.Jieleze vizuri what is your problem mate..!!
 
Kuna njia nyingi lakini miongoni mwa hizo ni kutumia vijiti ambayo huwekewa mwanamke sehemu za mkono na daktari, kuna njia za vidonge, kuna njia ya mikanda, kuna njia ya vitanzi n.k wewe nenda hospitalini utapata njia zote, zipo nyingi sana.
Vijiti sikushauri kwani ninoma!kwanza vinamfanya mwanamke kilamara ana brd bila mpango!Pili vinavuruga uch unakuwa unatoa ute,kiuno kinakuwa kinamuuma sana kiujumla vijiti havifai.
 
withdrawal me naona iko powah.hzi njia za madonge na hospital hazina deal.
 
muache mama anyonyeshe mtoto.....wee mwezi mmoja tayari!!!! kaa utulie ujipange namna ya kumtunza mtoto......
 
Mwezi mmoja tayari umeanza kubanjua! Men! Mimi nilisubiri miezi 3!
Hongera kwa uvumilivu,lakini kwa mujibu wa doctor mmoja ni kwamba muda wa kuanza sex na wife ina depend na recovery rate yake na mimi nilianza baada ya wk 5.
 
Akimaliza puerperium, yaani wiki 6 baada ya kujifungua, viungo vinakuwa vimerudi katika hali yake ya kawaida, sex yaweza anza, usitegemee lacatational amenorrhea iwe ndio njia ya kupanga uzazi, anaweza pata mimba hata kama ananyonyesha na hapati hedhi, withdrawal usijaribu utaumbuka.

Njia nzuri recombendable kwa mama anaenyonyesha ni pills lakini zile ambazo zina dawa moja yaani progesterone only pills au mini pills, usitumie combined pills kwani zina oestrogen ambayo itamfanya mama apunguze kiasi cha maziwa kinachotoka na hivyo mtoto ataathirika. Kila la kheri, atumie kwa two weeks kabal hamjaanza kufanya unprotected intercourse, yaani ndani ya wiki mbili atakazoanza kutumia vidonge mtumie condom.
 
Kama mtoto ananyonya kisawasawa ni kinga tosha dhidi ya mimba , mkeo hawezi kupata ujauzito kabisa...ila ni lazima mtoto anyonye sana na mtoto akinyonya vizuri mama amalizapo tu kumnyonyesha mtoto atajisikia kama kizunguzungu vile hapo ndiyo atajua kuwa mtoto kanyonya vizuri na hawezi kupata mimba akisex..pia ni vizuri mkaenda kuonana na dr bingwa wa uzazi atawapa ushauri mzuri na wa uhakika zaidi....lakin kuonya vizuri kwa mtoto ni kinga nzuri dhidi ya mimba.
 
Naomba msaada wana jf,mke wangu kajifungua mwezi mmoja uliopita.Tatizo ni kwamba sijui ni njia ipi bora ya uzazi wa mpango isiyo na madhara kwani sasa natumia kondom inayonifanya nisi enjoy ladha halisi ya mapenzi,plz msaada wenu wakuu.

Kuna aina nyingi za kutumia katika uzazi wa majira ambazo mnaweza kuzitumia ili wote muweze kufurahia tendo la ndoa. Nyingi ya njia hizo zina side effects ambazo si nzuri na baadhi zinaweza kusababisha madhara makubwa kwa mkeo. Kaeni chini mziangalie kwa makini na kuamua ni ipi ya kutumia maana kutumia condom inaelekea wewe (si ajabu na mkeo pia) haikupi raha uliyoizoea siku za nyuma. Kila la heri.
 
Wote kamwone daktari. Atawapa options mbalimbali pamoja na faida na hasara zake. Then, hapo mchague moja mnayoona inafaa kwenu wote.
 
Back
Top Bottom