Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba msaada wana jf,mke wangu kajifungua mwezi mmoja uliopita.Tatizo ni kwamba sijui ni njia ipi bora ya uzazi wa mpango isiyo na madhara kwani sasa natumia kondom inayonifanya nisi enjoy ladha halisi ya mapenzi,plz msaada wenu wakuu.
Akina nani!!Ngoja waje.
Vijiti sikushauri kwani ninoma!kwanza vinamfanya mwanamke kilamara ana brd bila mpango!Pili vinavuruga uch unakuwa unatoa ute,kiuno kinakuwa kinamuuma sana kiujumla vijiti havifai.Kuna njia nyingi lakini miongoni mwa hizo ni kutumia vijiti ambayo huwekewa mwanamke sehemu za mkono na daktari, kuna njia za vidonge, kuna njia ya mikanda, kuna njia ya vitanzi n.k wewe nenda hospitalini utapata njia zote, zipo nyingi sana.
Akina nani!!
withdrawal me naona iko powah.hzi njia za madonge na hospital hazina deal.