Akimaliza puerperium, yaani wiki 6 baada ya kujifungua, viungo vinakuwa vimerudi katika hali yake ya kawaida, sex yaweza anza, usitegemee lacatational amenorrhea iwe ndio njia ya kupanga uzazi, anaweza pata mimba hata kama ananyonyesha na hapati hedhi, withdrawal usijaribu utaumbuka.
Njia nzuri recombendable kwa mama anaenyonyesha ni pills lakini zile ambazo zina dawa moja yaani progesterone only pills au mini pills, usitumie combined pills kwani zina oestrogen ambayo itamfanya mama apunguze kiasi cha maziwa kinachotoka na hivyo mtoto ataathirika. Kila la kheri, atumie kwa two weeks kabal hamjaanza kufanya unprotected intercourse, yaani ndani ya wiki mbili atakazoanza kutumia vidonge mtumie condom.