Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #21
Morogoro tulikuwa tunaita MDUNDIKO. Ulikuwa maarufu kwa kupoteza watoto. Pia wake waliunguza mboga jikoni kwa sbb ya MGANDA.
Acha kabisa, ukikuta wanawake wa kizaramo au wakikwere wanachezesha makalio, hakiyamama ukijakustuka umetembea kutoka mwananyamala hadi msasani na hapo njia ya kurudi huijui aahahahahaaaa.
Wazaramu wacheza mdundiko walihama Dar, siku hizi hakuna na hivi watu wanajifungia kwenye mageti yao, hakuna tena mambo hizo.
Acha tuu, enzi hizo tuliishi.