I can't live without you

Morogoro tulikuwa tunaita MDUNDIKO. Ulikuwa maarufu kwa kupoteza watoto. Pia wake waliunguza mboga jikoni kwa sbb ya MGANDA.

Acha kabisa, ukikuta wanawake wa kizaramo au wakikwere wanachezesha makalio, hakiyamama ukijakustuka umetembea kutoka mwananyamala hadi msasani na hapo njia ya kurudi huijui aahahahahaaaa.

Wazaramu wacheza mdundiko walihama Dar, siku hizi hakuna na hivi watu wanajifungia kwenye mageti yao, hakuna tena mambo hizo.

Acha tuu, enzi hizo tuliishi.
 
Naomba Basi nimalizie Mimi mrembo

Mweeehhh!! huogopi kuzamamoo...!!??

Yaani kimekwisha chotee kama kifutio vile kinavyoisha, hakipoo...

Hata cha kukombelezea hakunaa, yaani hakuna kituu hata kuchungulia hakifai unaweza ukazimia au kupofuka macho.

Yule wa mwisho alikomboleza choteee aahahahahahaaaa.

K' Matata.
 
Umefanya hiki kibwagizo kinijie kichwani....

Poliiisiii kamataa
Kidevu kinawashaa
Mwambie babu yakoo
Acheze mgandaaaa... uuuhhh

Havintishi tishiii
Havinibabaishiii
Ule mpango vipiii

Msalimie afande hapo kushoto aahahahhaaaa.

K' Matata.
[emoji38][emoji38][emoji38]we mama Mimi huwa no fun wako. Unafurahisha sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daaaa
 
Usinifanyie hivo my dear
Nakupenda ati
 
SAS HV anasemaj

Kamtuma bodaboda aniletee mihogo ya kukaanga na chachandu, wakati naifungua nikakutana na pete, halafu akanipigia simu huku anaongea kwa kwikwi.....

Ka ssi nn dee ... wi will yu you...!!????

Bado yuko hewani hadi saa hii sijamjibu na yeye kasema hakati simu hadi nimjibu...

Nimjibujee...!???
 
Usinifanyie hivo my dear
Nakupenda ati

Niikiikuupa kuupa kuupa kuupa kuupaa

Utaaleewaa leewaa leewaaa leeewaa leewaaa

Nikikuunyiiimaaaaa....

Huuruumaaaa.....

Eeheheheheee nnanyopenda kupendwa sasa, ila tuu uwe na moyo mgumu ukiwa na moyo mwepesi utashindwamo.

Ukiwa na Kibibi kigagula Kasie haitakiwi uwe na hasira za haraka haraka wala za kuvuta.
 
Mwambie asubiri kwanza mpka tujue nan mchokoz kati ya bwege na magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…