Mwalim naomba fafanua hapo red
haujavaa zile lens?Hapo pa-red sipaoni nipo color blind kwa muda huu
Still upo macho? Wengine ndio tunatoka kitandani baada ya kulala usingizi mnooono!Mkuu tuko pamoja... I can not sleep too.. naona leo sitalala nitaunganisha moja kwa moja.... Vipi ushapata usingizi?? lol
haujavaa zile lens?
eniwei panasema hivi "Na ikiwa ni normal kwako kutokulala, basi usijilazimishe kulala kwa vile huna tatizo", mwisho wa kunukuu
Nimekupata mwalim, lakini huyu madamu kaja kucomplain nazani mambo yamebadilika hafla.Lens Leo nimezipumzisha manake waosha vinywa weshaanza kutumanga we are artificial...lol
Kila mtu na mwili wake ulivyo. Sio kama Gaijin analala masaa 8 na wewe lazima iwe hivyo.
Na hata kama zamani ulikuwa ukilala sana mwili unaweza kukubwa na mabadiliko ukajikuta unahitaji kulala masaa machache zaidi
Kuna mtu/watu ambao kwa definition ya kawaida ya kulala hawajalala kwa zaidi ya miaka kumi na hawana tatizo kiafya
Haya, karibu, tukomboeni maana na mimi usingizi sasa nauhisi kwa mbali... ngoja nizime taa.Still upo macho? Wengine ndio tunatoka kitandani baada ya kulala usingizi mnooono!
Kumbe tupo wengi... wewe umesha pata usingizi?
Still upo macho? Wengine ndio tunatoka kitandani baada ya kulala usingizi mnooono!
Mi hata sijui kama natakiwa kuendelea kujilazimisha au nianze tu siku mpya sasa. Maana kawaida yangu siwezi kulala after a certain time...
Nimekupata mwalim, lakini huyu madamu kaja kucomplain nazani mambo yamebadilika hafla.
Mimi kanishangaza hii kuanzisha sredi kutafta usingizi ilhali baada ya masaa manne anatakiwa aamke.
wanasiasa bana!
Mwanasiasa si ndo anaminisha watu ndani ya miaka mitano nchi ataigeuza paradiso? na huyu naye anataka kuaminisha watu kwamba ndani ya masaa manne atapata usingizi tena baada ya kuanzisha sredi.Hahaha umejuaje kama ni mwana siasa sasa? Pengine ni mkulima anahitajika akapalilie shamba baada ya masaa manne :]
Mwanasiasa si ndo anaminisha watu ndani ya miaka mitano nchi ataigeuza paradiso? na huyu naye anataka kuaminisha watu kwamba ndani ya masaa manne atapata usingizi tena baada ya kuanzisha sredi.
ni mwanasiasa tu huyu
Insomnia husumbua watu wengi sana ila wengi pia huwaga hawalitafutii ufumbuzi hilo tatizo.
Kwetu hospitali mtu haendi mpaka awe ana anguka anguka au temperature ifike 40 wakati mwengine.