i cant sleep, help please!

i cant sleep, help please!

Tips za kupata usingizi na kulala vizuri;

Kumega kabla ya kulala. Mega kabla haujalala. This is a tried and true method.

Epuka kunywa vinywaji vyenye caffeine kama Coca Cola, kahawa, chai, na kadhalika kabla ya kwenda kulala. Usivinywe ndani ya masaa mawili kabla ya kulala. Kama wapenda sana vinywaji hivyo basi hakikisha unatumia vilivyo decaffeinated.

La sivyo uta toss and turn usiku mzima!
 
Hapo pa-red sipaoni nipo color blind kwa muda huu
haujavaa zile lens?
eniwei panasema hivi "Na ikiwa ni normal kwako kutokulala, basi usijilazimishe kulala kwa vile huna tatizo", mwisho wa kunukuu
 
To add to NN list, smoking weed kinda helps, so I've heard :]
 
Mkuu tuko pamoja... I can not sleep too.. naona leo sitalala nitaunganisha moja kwa moja.... Vipi ushapata usingizi?? lol
Still upo macho? Wengine ndio tunatoka kitandani baada ya kulala usingizi mnooono!
 
haujavaa zile lens?
eniwei panasema hivi "Na ikiwa ni normal kwako kutokulala, basi usijilazimishe kulala kwa vile huna tatizo", mwisho wa kunukuu

Lens Leo nimezipumzisha manake waosha vinywa weshaanza kutumanga we are artificial...lol

Kila mtu na mwili wake ulivyo. Sio kama Gaijin analala masaa 8 na wewe lazima iwe hivyo.

Na hata kama zamani ulikuwa ukilala sana mwili unaweza kukubwa na mabadiliko ukajikuta unahitaji kulala masaa machache zaidi

Kuna mtu/watu ambao kwa definition ya kawaida ya kulala hawajalala kwa zaidi ya miaka kumi na hawana tatizo kiafya
 
Nimekupata mwalim, lakini huyu madamu kaja kucomplain nazani mambo yamebadilika hafla.
Mimi kanishangaza hii kuanzisha sredi kutafta usingizi ilhali baada ya masaa manne anatakiwa aamke.
wanasiasa bana!
 
Still upo macho? Wengine ndio tunatoka kitandani baada ya kulala usingizi mnooono!
Haya, karibu, tukomboeni maana na mimi usingizi sasa nauhisi kwa mbali... ngoja nizime taa.
 
Still upo macho? Wengine ndio tunatoka kitandani baada ya kulala usingizi mnooono!

The good thing sikuonei wivu... I like the fact kua sina usingizi but niko pouwa, na am a nite person, i do all my pending issues usiku...
 
Mi hata sijui kama natakiwa kuendelea kujilazimisha au nianze tu siku mpya sasa. Maana kawaida yangu siwezi kulala after a certain time...
 
Me naona make the best of it... once in a while sio mbaya.... Shida huja kama ni consistent....
 
Nimekupata mwalim, lakini huyu madamu kaja kucomplain nazani mambo yamebadilika hafla.
Mimi kanishangaza hii kuanzisha sredi kutafta usingizi ilhali baada ya masaa manne anatakiwa aamke.
wanasiasa bana!

Hahaha umejuaje kama ni mwana siasa sasa? Pengine ni mkulima anahitajika akapalilie shamba baada ya masaa manne :]
 
Insomnia husumbua watu wengi sana ila wengi pia huwaga hawalitafutii ufumbuzi hilo tatizo.
 
Mwanasiasa si ndo anaminisha watu ndani ya miaka mitano nchi ataigeuza paradiso? na huyu naye anataka kuaminisha watu kwamba ndani ya masaa manne atapata usingizi tena baada ya kuanzisha sredi.
ni mwanasiasa tu huyu
 
Kisha baada ya kufungua thread kayeyuka, hajaonekana tena........kweli mwanasiasa huyu!
 
Insomnia husumbua watu wengi sana ila wengi pia huwaga hawalitafutii ufumbuzi hilo tatizo.

Kwetu hospitali mtu haendi mpaka awe ana anguka anguka au temperature ifike 40 wakati mwengine.
 
Acha mawazo dogo, hiyo ndiyo sumu ya usingizi. Pia kuna vitabu maalum vya kuleta usingizi Vinaitwa Boring books! Vitabu hivi ukianza kusoma vinabore sana utachoka tu na kupata usingizi. Pole mkuu.
 
Dawa ya Ukosefu Wa Usingizi

Utachukua kijiko cha unga Habbat-Sawdaa kwa kiingereza inaitwa (Nigelle Sativa seed), achanganye na gilasi ya maziwa moto yaliochanganywa na Asali, baada ya kupoa kiasi utakunywa.
 
Back
Top Bottom