mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 238
hello any body out there who can share wt me coz i cant sleep at all n out of mood at all. Tmrow i hv 2 wkup very early than u can think, wht shlf i do? I hv less than 4 hrs to stay on the bed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kashalala huyu!!!
Wenye wake au waume zao wameshalala zamaniiii... Sisi makapera ndo tunahesabu kenchi...
hello any body out there who can share wt me coz i cant sleep at all n out of mood at all. Tmrow i hv 2 wkup very early than u can think, wht shlf i do? I hv less than 4 hrs to stay on the bed.
Kumbe tupo wengi... wewe umesha pata usingizi?Mkuu tuko pamoja... I can not sleep too.. naona leo sitalala nitaunganisha moja kwa moja.... Vipi ushapata usingizi?? lol
Naona tunatania lakini hii ni serious issue. Mimi pia na tatizo la kulala na ubaya wa kutumia dawa za kulala ni kwamba unaweza kuwa Tegemezi wa dawa za kulala ni kweli hizi dawa zina cheza na brain hivyo huwezi kuzitumia kila siku. Mimi nimegundua kunywa maziwa ya mota kabla sijalala inasaidia.

Mwalim naomba fafanua hapo redTafuta chanzo kinachokuzuwia wewe kulala. Na ikiwa ni normal kwako kutokulala, basi usijilazimishe kulala kwa vile huna tatizo