crunkstaa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 331
- 159
Kwa kauli zako mtu km Lowasa alitakiwa afe sio?
Sheria za Cyber Crime zitawaondoa Wabongo wengi sana.
Chunga sana kijana
Na shukuru mkuu kwa kunipa maoni yako ila kiukweli ndo kazi zza kijasusi na ni lazima waondoke duniani ili taifa liwe salama
Ila naamini mkuu sijataja jina la mtu katika comment zangu.Asante kwa kuelewa