I declare it, I love you so much...

Kuna watu wana ngeksi! miss chagga changamka. Ila ngastuka, hiyo lugha ya kupunguza kunywa pombe unauziwa mbuzo kwa gunia. People don't change aisee, kama unajilipua wewe tu.
 
Last edited by a moderator:
yaani mie pombe ni turn off, sijui sababu niko alcohol free?

kiwatengu, unakimbuka tulipoanzia na hili saga. We're almost reaping, brother! Hatukupanda kwenye mwamba, au magugu...tulipanda kwenye udongo wa rutuba. miss chagga pls, Say something kwa Tembosa...teeh!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, na mlevi akifall in love anatoa ahadi kuliko ccm. Tatizo ni wakati unapendwa unapewa excuses kama mia, ooh nakunywa kwa sababu niko lonely, ooh sina wa kumuwahi nyumbani. Akikuweka ndani unakuwa furniture, anakuwa hana wa kumuwahi home kama zamani.

bora kufanya maamuzi magumu mapemaaa!
yaani mie pombe ni turn off, sijui sababu niko alcohol free?
 
Lakini kuna watu wanakunywa kistaarabu tu, tena wengine wananywea home...na familia zao. Japo hata mimi, mdada akishanipa warning kama anapiga ulabu naweka pembeni aisee..!
 
Nafurahi sana nikiona vijana wanafunguka.....
Kila la heri. Jitahidi uwe teja, siyo nusu nusu
 
Aah mkemwenza hujaona tu hapa au unataka tuendelee kubanana na mimi?
 
Mkuu kiwatengu naona kuna mtu alitaka kukalia kuti kavu
 
Last edited by a moderator:
huo ustaarabu wa kunywea home unaandamana na fedha za mawazo. hehehe pata hela mkeo akujue tabia zako inahusika sana tu.
Lakini kuna watu wanakunywa kistaarabu tu, tena wengine wananywea home...na familia zao. Japo hata mimi, mdada akishanipa warning kama anapiga ulabu naweka pembeni aisee..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…