charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
ndo unawaita ili iwejee??
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo unawaita ili iwejee??
Kuna watu wana ngeksi! miss chagga changamka. Ila ngastuka, hiyo lugha ya kupunguza kunywa pombe unauziwa mbuzo kwa gunia. People don't change aisee, kama unajilipua wewe tu.
yaani mie pombe ni turn off, sijui sababu niko alcohol free?
Hahaha, na mlevi akifall in love anatoa ahadi kuliko ccm. Tatizo ni wakati unapendwa unapewa excuses kama mia, ooh nakunywa kwa sababu niko lonely, ooh sina wa kumuwahi nyumbani. Akikuweka ndani unakuwa furniture, anakuwa hana wa kumuwahi home kama zamani.
bora kufanya maamuzi magumu mapemaaa!
Lakini kuna watu wanakunywa kistaarabu tu, tena wengine wananywea home...na familia zao. Japo hata mimi, mdada akishanipa warning kama anapiga ulabu naweka pembeni aisee..!
huo ustaarabu wa kunywea home unaandamana na fedha za mawazo. hehehe pata hela mkeo akujue tabia zako inahusika sana tu.