Ha ha ha naona mizizi uliyootesha kwa baby wako imeanza kukomaa!!
Safi :thumbup:
yaani mie pombe ni turn off, sijui sababu niko alcohol free?
Tembosa approach yake ni ya kizamani sana kaka!kiwatengu, unakimbuka tulipoanzia na hili saga. We're almost reaping, brother! Hatukupanda kwenye mwamba, au magugu...tulipanda kwenye udongo wa rutuba. miss chagga pls, Say something kwa Tembosa...teeh!!
Heri wasio wanywaji..
Tembosa approach yake ni ya kizamani sana kaka!
Angeanza na ATM cards then amuachie "Mama"mwenyewe aamue!Haya mambo ya "maneno kauli"madada wengi hapa watamuona"kavu"tu!
Haah! Haaah! Na siku ukiporwa kweli naona utajinyonga mkuu.
Aheri na mke nimkose kama ultimatum ni kuacha pombe!Kila mtu na starehe yake bana
Sitaki hata niwaze itapitaje pitaje weekends yangu bila kupiga viroba kadhaa?No way
niachie mm nilie na mpenzi wangu ....khaaaa
Serious?? Kazi unayo..!!
Mkuu, Tembosa aliianza hii kazi mda mrefu sana, sema tu miss chagga anaonekana Kuna vitu anataka viwe sorted kwanza kabla ya kusema I DO!! Si unajua life ya sasa hivi tunaangalia "Una nini"..sio maneno na sura nzuri.
Hamna wa kinipora we mwenyewe umekuja na fitina zako umechemsha!!
Sijachemsha mkuu! Nimeona ulikosa amani mpaka unaongea peke yako barabarani, hata nikikualika kikao cha kunywa huji, nikahofu utajiua, nikaamua kukuachia.