miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Mr Rocky where are u?
yanii wewe ni mbea kuliko CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr Rocky where are u?
Si unajua hatutaki kuletewa damu bandia kama ya emmy(kizuizi) katika ukoo wetu........lol
hatimae na wewe umepata wa kukuhifadhi
Hahahah...sawa wii
Pasco yup[o kwenye kamati ya maombi kama gwanyimaaya bhana kila la heriii.........
miss chagga unaitwa huku kuna moyo umekudondokea
Pasco wee ulie tuu
yanii wewe ni mbea kuliko CHADEMA
Hahahah...sawa wii
Weee....Usirudie tena haya matusi yako!!
wewe taratibu wewe sikubali kuweka kabatini hivi hivi mpaka nione kila kitu kinapatikana mule ndani ya kabati
mke mwenza mumeo alianza hivi hivi ha ha haha
Ok poa msalimie sana kaka yangu siku hizi umemkamatilia yani hata message tu hapati mda wa kututumia
Ha ha ha... haya bwana, huwa sibishani nwa mwanamke!
Mr Rocky where are u?
Sasa wii bado unataka meseji? Ulishatumiwa miaka hiyo....sasa hivi zamu yangu attention yote napewa mimi
alikuwa mchepuko tu.. DA alisharudi kwenye himaya yake bhana... ila sio mbaya kijana alipewa taarifa kuhusu sehem moyo wake umedindokea..
whaaat...nakusemea kwa babayo utafiti
Jamani vibaya hivyo wi.Kujuliana hali ni jambo zuri sana si mpaka msubirie kupigiwa simu mtu wenu hatunae tena duniani
Hali tunajuliana wawili huku ndani kwetu