I declare it, I love you so much...

I declare it, I love you so much...

wewe taratibu wewe sikubali kuweka kabatini hivi hivi mpaka nione kila kitu kinapatikana mule ndani ya kabati

Hapa ndio kuna kichuguu mkuu Tembosa jipange sawasawa maana hawa wa kaskazini chalii angu wametumwa makaratasi ya rangi mjini,hawajaja kutanganza injili
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, na mlevi akifall in love anatoa ahadi kuliko ccm. Tatizo ni wakati unapendwa unapewa excuses kama mia, ooh nakunywa kwa sababu niko lonely, ooh sina wa kumuwahi nyumbani. Akikuweka ndani unakuwa furniture, anakuwa hana wa kumuwahi home kama zamani.

bora kufanya maamuzi magumu mapemaaa!

Hawakosagi majibu, afu bia ikiingia mdomoni inabadilika kuwa Tekila. Yaani mie nahisi nitalewa ya mdomoni kwa mtu mwingine zaidi ya ile ya kwenye chupa.

huo ustaarabu wa kunywea home unaandamana na fedha za mawazo. hehehe pata hela mkeo akujue tabia zako inahusika sana tu.

Huu usemi kama utani lakini ukweli mtupu.
 
Viroba?? Uko level zingine jomba

Hahaha, na mlevi akifall in love anatoa ahadi kuliko ccm. Tatizo ni wakati unapendwa unapewa excuses kama mia, ooh nakunywa kwa sababu niko lonely, ooh sina wa kumuwahi nyumbani. Akikuweka ndani unakuwa furniture, anakuwa hana wa kumuwahi home kama zamani.

bora kufanya maamuzi magumu mapemaaa!

huo ustaarabu wa kunywea home unaandamana na fedha za mawazo. hehehe pata hela mkeo akujue tabia zako inahusika sana tu.

Aheri na mke nimkose kama ultimatum ni kuacha pombe!Kila mtu na starehe yake bana

Sitaki hata niwaze itapitaje pitaje weekends yangu bila kupiga viroba kadhaa?No way
 
Back
Top Bottom