habari...naomba io link mana me nimepata mpaka ya 2134Kuna iliyoishia 2152
io wamefika 2316
Kuna story ya John White, tafuta hii utaipenda sana.Nilisoma hii hadithi mpaka nikachoka, nikaingia mpaka kwenye group la telegram...ni ya Kichina ndefu sana mpaka inapoteza wahusika wengine.Ilifika kipindi mpaka tafsiri za English zikawa hazipo..inapindikwa kutoka kwenye original Chines to English na majina ya Kichina..wakina Dehlia wote wale walipotea kabisa..
Nimeachana nayo
Hii story inaendelea na bado naifatilia. Uzuri wa Chinese stories zinaenda mpaka chapter 5000+Nilisoma hii hadithi mpaka nikachoka, nikaingia mpaka kwenye group la telegram...ni ya Kichina ndefu sana mpaka inapoteza wahusika wengine.Ilifika kipindi mpaka tafsiri za English zikawa hazipo..inapindikwa kutoka kwenye original Chines to English na majina ya Kichina..wakina Dehlia wote wale walipotea kabisa..
Nimeachana nayo
Yeah fuatilia John White story pia hutajutia.Sema imekua too boring. Naisoma mpaka sasa hivi pia. Ngoja tuone kama mwandishi atawarudisha kina Natasha Harmon. Maana sasa hivi kuna mashindano wyrim summit. Changamoto ni kuwa kwa siku nzima unapata chapter mbili tu