I dedicated my Monday to read this beautiful story

Nilisoma hii hadithi mpaka nikachoka, nikaingia mpaka kwenye group la telegram...ni ya Kichina ndefu sana mpaka inapoteza wahusika wengine.Ilifika kipindi mpaka tafsiri za English zikawa hazipo..inapindikwa kutoka kwenye original Chines to English na majina ya Kichina..wakina Dehlia wote wale walipotea kabisa..
Nimeachana nayo
 
Kuna story ya John White, tafuta hii utaipenda sana.

The Dragon Man Decree
 
Nilisoma hii hadithi mpaka nikachoka, nikaingia mpaka kwenye group la telegram...ni ya Kichina ndefu sana mpaka inapoteza wahusika wengine.Ilifika kipindi mpaka tafsiri za English zikawa hazipo..inapindikwa kutoka kwenye original Chines to English na majina ya Kichina..wakina Dehlia wote wale walipotea kabisa..
Nimeachana nayo
Hii story inaendelea na bado naifatilia. Uzuri wa Chinese stories zinaenda mpaka chapter 5000+
 
Sema imekua too boring. Naisoma mpaka sasa hivi pia. Ngoja tuone kama mwandishi atawarudisha kina Natasha Harmon. Maana sasa hivi kuna mashindano wyrim summit. Changamoto ni kuwa kwa siku nzima unapata chapter mbili tu
 
Yeah fuatilia John White story pia hutajutia.

The Dragon Man Decree
 
This story, japo imekuwa slow kama kobe lakini nimetoka nayo mbali, siiachi ng'o...sasa contestant 8 Mr Dustin na billwolf the vampire wako uringoni wakati Dustin akiwa amejizatiti kukomesha uonevu wa vampire kwa wachina wenziwe na kujipima uwezo pia.

Nendeni Kijiji forum kule, kuna translations safi kabisa
 
Back
Top Bottom