I dedicated my Monday to read this beautiful story

Niko season ya 219, wenzangu tunaoendelea kuifukua hii novel tufahamiane kidg...

Naona Dustin kawa tishio na untouchable, jmn hivi kweli atafanikisha kuoana na Natasha kweli au ataishia kurudi kwa Dahlia? Ila binafsi naona Natasha anamheshimu sana na wanamatch sana

Dahlia ni mtu wa kuchukua maneno kama yalivyo bila kuyachunguza na ana muaccuse mwenzake, anajisikia sana na hamfai Dustin.
 
Nipo chapter 925. Nasubiri walete update.
 
Familia nzito zote za Swinton zote zinaonyesha hofu juu ya Dustin.
Kunzia Kwa The Hummers, The Hermons, Trevols, Brooks, Leineys, sasa nmefika ameingia mgogoro na Boutmonths na yule messenger aliyeagizwa kufalse Dustin awauzie 50% ya share zake za Immortunol kachapwa mbele ya The Hermons naye kaapa kuavenge.
 
nilikuwa napita pita facebook nikaona ka pdf nimekasoma then wengi wanaishia viepisode kadhaa wanakutaka uingie kwenye web ukalipe pesa. then nkakutana na hii post ya jf baada ya kusearch pdf google.

hii novel imenifanya nikeshe, mwenye uwezo wa kupata pdf aturahisishie kazi.
 
nimelala saa tisa, nmeamka 12 mwenye hii pdf nasisitiza anisaidie nisijefika mwisho humu jf kumbe haijaisha nikabaki na arosto kali.
 
Kiukweki Dustin hajamove on bado anampenda sana Dahlia. Kila kitu anachofanya Dustin juu ya Dahlia hakuna thamani. Ni Bora akaachana naye mazima na kuendelea na Natasha. Bado naendelea kula chapter tu kukesha Hadi saa 9 jambo la Kawaida Kwa utamu huu.
 
Mimi nipo 411, amefika hatua anataka kuwa leader wa gang maarufu South city. Mwamba anatisha.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Kabisa, personally sitaki kumsikia Dahlia yani ni mtu wa mihemko sana, especially kwa mtu aliempenda kwa kila hali. Mama na kaka mtu ndo visanga kabisa.

Mie ni team Natasha+Dustin.
Natasha anamuamini Dustin mpaka raha yani.
Dustin is more of a man with Natasha by his side.(Not the air headed Dahlia.

Sent from my SOV39 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa niko chapter 947 ila hii novel ni nzuri mno. Ina mambo mengi sana ya kujifunza
 
Tuko team moja.. Dahlia mihemko imemzidi sana.
 
Wakuu nisaidieni, uki click pale kwenye link inakupeleka episode ya 32, unaendelea kusoma labda nimefika episode ya 100, ikitokea sipo hewani nikija nikitaka kusoma lazima nirudi 32 nianze ku click next next mpaka niifikie ile 100! Je kuna namna naweza kusoma kwa urahisi please help!
 
Usi-clear tabs. So ukirudi kusoma unaanzia ulipoishia. Ikitokea umeclear bas nenda kwenye history utakuta episode uliyoishia unaendelea.
That's what I do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…