Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Mkuu ni Mb 189Hii kitu nliishia njiani, aisee kama upo na pdf nshushie chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni Mb 189Hii kitu nliishia njiani, aisee kama upo na pdf nshushie chap
Haina shida hata kama ni GB 500Mkuu MB 189.
Toa maelekezo tu hizo MB zitapatkanaMkuu ni Mb 189
Tusaidie linkWazee hebu checkin Kijiji forum kuna miendelezo mpaka 1171
So interesting
Wadau, umefika page ya ngapi?
noveljk.com
Fungua hiyo link ukiwa na internet nenda previous au next chagua page unayotaka, nahisi story nzima ipo hapo, binafsi bado nipo Chapter ya 107, ila story ni tamu balaa kama movie vileWadau, umefika page ya ngapi?
Tusaidie link
noveljk.com
Thanks bro, me binafsi niko page ya 1195 Ina arosto sana..keep up utafika na weweFungua hiyo link ukiwa na internet nenda previous au next chagua page unayotaka, nahisi story nzima ipo hapo, binafsi bado nipo Chapter ya 107, ila story ni tamu balaa kama movie vile
link mkuu nipo ch.1170 nahitaji muendelezoStory inabamba sana, tujuane tulioisogeza sogeza kidogo...
Team Natasha na Team Dahlia wajionyeshe hapa...me binafsi simuelewi Dahlia na familia yake na hawamfai yule mwamba kabisa, ninafurahi familia ya Harmons walivyompokea mwamba na wanavyomkubali kinoma noma hasa shemeji yake Roth...
Niko page ya 1300 sasa na inapendeza sana kuona watu wengi Duniani wanaifuatilia story yenyewe, story ni addictive sana.
Tyler kachakazwa vibaya, kiongozi wa martial arts alliance kanyoshwa kama moja na kukatwa kichwa, Dahlia kapata amnesia na hamkumbuki tena mwamba, na sasa nguvu imehamishiwa stonia wametoka millsburg..
Watu mpo noma sana! Mimi nipo Chapter 165. Leo nataka nikimbize Hadi 200.link mkuu nipo ch.1170 nahitaji muendelezo
Kaza mwendo kaka, kuna translator yuko chap kidogo anaitwa OZN huko #kijijiforums amefikisha page ya 1700 tunasubir mwendelezo nafkir kesho.Watu mpo noma sana! Mimi nipo Chapter 165. Leo nataka nikimbize Hadi 200.
Kaza mwendo kaka, kuna translator yuko chap kidogo anaitwa OZN huko #kijijiforums amefikisha page ya 1700 tunasubir mwendelezo nafkir kesho.
Kila hatua ni tamu balaa, ngoja nitafute link nikuwekee hapa..lately nilidhanj nianze kuzipost hapa bado nafikiri kuhusu muda wangu....
Tuliosogezasogeza tukutane tuzungumze kidg..
[emoji23][emoji23][emoji23]kipenda roho ndugu yangu...me binafsi si msomaji mzuri wa novel lakini hii kitu imenifungulia milangoHii story ni nzuri ingekuwa ya kiswahili kuna watu wangeiona ndefu
Kwa sababu ni ya kingereza me mwenyewe naiona kama imejidozen hivi
So just givuni me a favor
Ndio hivyo mkuu, kazi iendeleee...vipi umegusagusa lakini?Aisee