I dedicated my Monday to read this beautiful story

Fungua hiyo link ukiwa na internet nenda previous au next chagua page unayotaka, nahisi story nzima ipo hapo, binafsi bado nipo Chapter ya 107, ila story ni tamu balaa kama movie vile
Thanks bro, me binafsi niko page ya 1195 Ina arosto sana..keep up utafika na wewe
 
Story inabamba sana, tujuane tulioisogeza sogeza kidogo...

Team Natasha na Team Dahlia wajionyeshe hapa...me binafsi simuelewi Dahlia na familia yake na hawamfai yule mwamba kabisa, ninafurahi familia ya Harmons walivyompokea mwamba na wanavyomkubali kinoma noma hasa shemeji yake Roth...

Niko page ya 1300 sasa na inapendeza sana kuona watu wengi Duniani wanaifuatilia story yenyewe, story ni addictive sana.

Tyler kachakazwa vibaya, kiongozi wa martial arts alliance kanyoshwa kama moja na kukatwa kichwa, Dahlia kapata amnesia na hamkumbuki tena mwamba, na sasa nguvu imehamishiwa stonia wametoka millsburg..
 
link mkuu nipo ch.1170 nahitaji muendelezo
 
Watu mpo noma sana! Mimi nipo Chapter 165. Leo nataka nikimbize Hadi 200.
Kaza mwendo kaka, kuna translator yuko chap kidogo anaitwa OZN huko #kijijiforums amefikisha page ya 1700 tunasubir mwendelezo nafkir kesho.

Kila hatua ni tamu balaa, ngoja nitafute link nikuwekee hapa..lately nilidhanj nianze kuzipost hapa bado nafikiri kuhusu muda wangu....

Tuliosogezasogeza tukutane tuzungumze kidg..
 
Hii story ni nzuri ingekuwa ya kiswahili kuna watu wangeiona ndefu
Kwa sababu ni ya kingereza me mwenyewe naiona kama imejidozen hivi
So just givuni me a favor
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kipenda roho ndugu yangu...me binafsi si msomaji mzuri wa novel lakini hii kitu imenifungulia milango
 
Back
Top Bottom