I dedicated my Monday to read this beautiful story

I dedicated my Monday to read this beautiful story

Carleen mambo. Hope uko poa kabisa. Naomba nitafutie hii novel (soft copy). Najua machimbo unayo mengi mimi nishayasahau nimejaribu nashindwa.
Ukiipata na mimi naomba.
Nilifuatilia kama mwezi umepita nikaishia chapter 14 nadhani zingine ikawa hazifunguki
 
Story inabamba sana, tujuane tulioisogeza sogeza kidogo...

Team Natasha na Team Dahlia wajionyeshe hapa...me binafsi simuelewi Dahlia na familia yake na hawamfai yule mwamba kabisa, ninafurahi familia ya Harmons walivyompokea mwamba na wanavyomkubali kinoma noma hasa shemeji yake Roth...

Niko page ya 1300 sasa na inapendeza sana kuona watu wengi Duniani wanaifuatilia story yenyewe, story ni addictive sana.

Tyler kachakazwa vibaya, kiongozi wa martial arts alliance kanyoshwa kama moja na kukatwa kichwa, Dahlia kapata amnesia na hamkumbuki tena mwamba, na sasa nguvu imehamishiwa stonia wametoka millsburg..
Naomba link ya huko mbele mkuu... niliishia page ya 1200
 
Mkuu nmeweka tayar scroll juu utaiona..
 
Mkuu nitafitie story ya A Man like none other please
 
Mkuu nmeweka tayar scroll juu utaiona..
Kijiji forums kwangu inansumbua notification juu juu hata uki-act on it hazinipi nafasi. Mfano ivi
Screenshot_20231008-080022.jpg


Any help?
View attachment 2775078
 
Back
Top Bottom