Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Ndio mkuu nimepitia japo ngeli sio poaNdio hivyo mkuu, kazi iendeleee...vipi umegusagusa lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu nimepitia japo ngeli sio poaNdio hivyo mkuu, kazi iendeleee...vipi umegusagusa lakini?
Kuna jukwaa fulani limejazwa na wafilipino tuu yaani wanakomenti kifilipino tu lakini wanakomaa na story, so ni moyo tu..Ndio mkuu nimepitia japo ngeli sio poa
Mkuu nitafitie story ya A Man like none other pleaseIpo fesibook hii.
Tafuta "The Charismatic Charlie Wade" mkuu utanishukuru.
Sawa mkuuHumohumo unajifunzia mkuu, after all ni ngeli rahisi kabisa...Kuna jukwaa fulani limejazwa na wafilipino tuu yaani wanakomenti kifilipino tu lakini wanakomaa na story, so ni moyo tu..
Ukiipata na mimi naomba.Carleen mambo. Hope uko poa kabisa. Naomba nitafutie hii novel (soft copy). Najua machimbo unayo mengi mimi nishayasahau nimejaribu nashindwa.
Binafsi naomba hivyohivyo kama ni kuchangia bando kwenye simu yako haina shidaMkuu MB 189.
Yani founder wetu uko nyuma ivo kumbe?Watu mpo noma sana! Mimi nipo Chapter 165. Leo nataka nikimbize Hadi 200.
To be honest, l liked it.Inaendelea. Kama umeipenda utaniambia
Naomba link ya huko mbele mkuu... niliishia page ya 1200Story inabamba sana, tujuane tulioisogeza sogeza kidogo...
Team Natasha na Team Dahlia wajionyeshe hapa...me binafsi simuelewi Dahlia na familia yake na hawamfai yule mwamba kabisa, ninafurahi familia ya Harmons walivyompokea mwamba na wanavyomkubali kinoma noma hasa shemeji yake Roth...
Niko page ya 1300 sasa na inapendeza sana kuona watu wengi Duniani wanaifuatilia story yenyewe, story ni addictive sana.
Tyler kachakazwa vibaya, kiongozi wa martial arts alliance kanyoshwa kama moja na kukatwa kichwa, Dahlia kapata amnesia na hamkumbuki tena mwamba, na sasa nguvu imehamishiwa stonia wametoka millsburg..
Mkuu nmeweka tayar scroll juu utaiona..![]()
An Understated Dominance, Dustin Rhys story. Chapters 1301 and beyond - JUNLEE (aka Jungal2000) English interpretation
Translated by Jungal2000 This is my take on an ongoing Chinese novel by an unknown author. I've never been much of a reader when it comes to lengthy novels, but as soon as I delved into this tale, I was hooked like a fanatic. And I can't seem to stop. Unfortunately, the English version I was...www.kijijiforums.com
Ahsante sanabkwa kutumia forum yetu Kijijiforums endeleeni kupa novel kali na mfungue accountMkuu nmeweka tayar scroll juu utaiona..
Khasante kwa kunitambua mkuu, akaunti ninayo na mimi ndiyo Dustin Rhys mwenyewe.Ahsante sanabkwa kutumia forum yetu Kijijiforums endeleeni kupa novel kali na mfungue account
mzalendo namba moja
Mkuu nitafitie story ya A Man like none other please
Kijiji forums kwangu inansumbua notification juu juu hata uki-act on it hazinipi nafasi. Mfano iviMkuu nmeweka tayar scroll juu utaiona..
Niki-accept cookies hakitoki,nkisema ni log in au kuregister hainipi space kufanya hivyo.Kijiji forums kwangu inansumbua notification juu juu hata uki-act on it hazinipi nafasi. Mfano iviView attachment 2775076
Any help?
View attachment 2775078
Hebu jaribu kutumia browser nyingine, sina uhakika japo lakini jarb maake Mimi sijaexperience Hilo tatizo kablaNiki-accept cookies hakitoki,nkisema ni log in au kuregister hainipi space kufanya hivyo.
Habari mimi ni moja ya mmliki wa hiyo forum kuepuka hizo notification fungua akaunti kisha accept cookies anyway inaonekana simu yako inakioo kidogoKijiji forums kwangu inansumbua notification juu juu hata uki-act on it hazinipi nafasi. Mfano iviView attachment 2775076
Any help?
View attachment 2775078
Karibu sanaKhasante kwa kunitambua mkuu, akaunti ninayo na mimi ndiyo Dustin Rhys mwenyewe.
Habari 👋 simu yako inascreen ndogo nitaremove hilo andishi la juu kwa ajili yako ukisha jiunga unipe mrejesho nirudishe ahsante 🙏Niki-accept cookies hakitoki,nkisema ni log in au kuregister hainipi space kufanya hivyo.
Is this Gily or Muhindi wa Kuchoma?Habari [emoji112] simu yako inascreen ndogo nitaremove hilo andishi la juu kwa ajili yako ukisha jiunga unipe mrejesho nirudishe ahsante [emoji120]