Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
Na kama nikiweza basi I can make it through any year.
Sijui kama hili ni jukwaa sahihi, lakini nahisi ni hivyo.
Wakuu shida hazizoeleki, shida zinatweza utu wa mtu, yaani shida zinaweza kukufanya udharaulike mno.
Hapa nilipo nimechoka vibaya, zaidi nikifikiria yajayo nafumba na macho nisitake kuya face! Huu mwisho wa mwaka umenijia na matukio ya kutesa sana.
Shida zimenifanya niende PM za watu kuwaelezea nikiomba msaada huku nikijua kabisa hawanifahamu; zimefanya niwa-text watu wengi nilio na contacts zao! Lakin none of them replied, siwalaumu cuz it's none of their concern. I'm boxed in the boxes I can't see, nikiangalia mbele naona giza tuu sioni kama kuna kingine cha muhimu kitakachotokea.
Anyways, hapa nilipo nipo kwenye mlango wa frem ya muuza simu nilmpigia asubuhi kumwambia kuwa nauza hii w3 yangu shilingi 35,000/= akasema mbona itamkata ila ngoja afike ofisini atanichek, nimeamua nije yeye ndo anikute hapa
Sent using Jamii Forums mobile app