I don't know if I can make it through this year

I don't know if I can make it through this year

Starboywiz

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
867
Reaction score
1,455
Na kama nikiweza basi I can make it through any year.

Sijui kama hili ni jukwaa sahihi, lakini nahisi ni hivyo.

Wakuu shida hazizoeleki, shida zinatweza utu wa mtu, yaani shida zinaweza kukufanya udharaulike mno.

Hapa nilipo nimechoka vibaya, zaidi nikifikiria yajayo nafumba na macho nisitake kuya face! Huu mwisho wa mwaka umenijia na matukio ya kutesa sana.

Shida zimenifanya niende PM za watu kuwaelezea nikiomba msaada huku nikijua kabisa hawanifahamu; zimefanya niwa-text watu wengi nilio na contacts zao! Lakin none of them replied, siwalaumu cuz it's none of their concern. I'm boxed in the boxes I can't see, nikiangalia mbele naona giza tuu sioni kama kuna kingine cha muhimu kitakachotokea.

Anyways, hapa nilipo nipo kwenye mlango wa frem ya muuza simu nilmpigia asubuhi kumwambia kuwa nauza hii w3 yangu shilingi 35,000/= akasema mbona itamkata ila ngoja afike ofisini atanichek, nimeamua nije yeye ndo anikute hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kiongozi kwa matatizo yanayokukuta..Taje a deep breath and be strong. Yote yatskua sawa ni swala la muda tu..
Solve problems or Leave problems bu t NEVER live with Problems..Maana kama utaishi nayo yatakutesa na kukuletea msongo.

Kuna wakati kama matatizo yamekuandama sana na huwezi kutatua inabidi uyakubali matatizo na shida zako ili iwe kama njia ya kutatua tatizo.
Be Good
God is watching you
 
Pole sana Mkuu,

Wanasemaga Shida tumeumbiwa, lakini shida zisikie tu kwa mwenzio.

Umekumbwa na shida gan? Inaweza ikawapa urahisi wengine kukupatia mawazo kadhaa ambayo mengine yanayotokana na experience yakuwa kwenye hali uliyopo sasa hivi.

Binafsi kuna kipindi nilipitia nikauza mpaka laptop yangu pekee nilio kuwa nayo na vifaa vyengine. Ila sasa hivi hali kidogo ni nzuri. Yatakwisha, usikate tamaa.

#cobol
 
Da'Vinci,Bless up bro, sometime nafikiria kwamba am too weak to fit in this World. Lakini nikimtazama mama kija wangu naona kabisa siwezi kumuacha peke yake I'll be a coward and dumb na huyo mtoto atakaezaliwa atanilaani sana hata kama hanioni.

Juzi nilimfata kwao nikiwa na lengo la kumwambia atoe ujauzito, ila the way alivokua ananiangalia sikuweza kumwambia chochote i just told her kwamba nlienda kumsalimia tuu then nikaondoka daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo yapo sana mkuu, usikate tamaa wengi tumepitia huko na wengine wanapitia huko, I fel u bro! Kuna muda unatamani upate usingizi hupati, unatamani ukilala usiamke tena, unatembea barabarani unaomba ugongwe na gari ufe lakini hata magari barabarani yanakupisha!!
Hiyo ni phase tu kwenye maisha, kuna muda ulifika naamka asubuhi sina hata sh 100 mbovu, lakini ikifika jioni nakuwa nimeshiba na bills nalipa!! Kwenye kila jaribu kuna njia ya kutokea, baada ya huo mtihani kupita ndo utaona njia ambazo Mungu alikuwekea!! Kuna muda unafika hata mtu akikwambia habari za Mungu unaona anazingua tu, maana unakosa hata kibarua cha kuosha magari tu, Kwenye yote unayopitia Usikate tamaa, ipo siku tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bless up bro, sometime nafikiria kwamba am too weak to fit in this World.
Mkuu nakuelewa sana hapa na sio wewe pekee ushawahi fikiria mambo haya.. I'm here too..

But mkuu you're soo strong than you think..kama umeweza hadi kuwa na frem somewhere basi uko mbali sana. Kuna wengine hawana uwezo hata wa kumiliki kigenge.. kua mvumilivu tu ni maisha yametaka yakuonyeshe upande mwingine wa maisha.
 
Namsubiri jamaa kwenye frem yake ni fundi simu ndo nimuuzie hii, but thanks bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakuelewa sana hapa na sio wewe pekee ushawahi fikiria mambo haya.. I'm here too..

But mkuu you're soo strong than you think..kama umeweza hadi kuwa na frem somewhere basi uko mbali sana. Kuna wengine hawana uwezo hata wa kumiliki kigenge.. kua mvumilivu tu ni maisha yametaka yakuonyeshe upande mwingine wa maisha.

Hujamwelewa..msome tena kuhusu frem!
 
Hatua ya kutoa la rohoni ni uponyaji. Naamini utavuka tu kwenye hili.
Cha msingi labda unataka nini, pesa ya biashara, ya kula, ya kodi, ya ada au..... Jaribu kuchambua hitaji lako muhimu zaidi ndio usimamie hapo. Usisimame na mahitaji mengi kwa wakati mmoja.
 
Ukiona hivyo ujue kuna mahali umekosea. Lakini hilo si tatizo maana tunajifunza kutokana na makosa. Na hivyo basi utakuwa umeshajua mahali ulipo kosea. Nyanyuka, Jipange, Songa mbele.

Unless una ulemavu fulani, lakini kama umekamilika...huna shida. Ni swala la kujipanga tu.
 
Sure!kama una mikono miwili na miguu miwilo akili safi jua unapita tu sehemu..uendako ni pazuri zaidi
 
Back
Top Bottom