Wakuu asanteni kwa kuchangia huu uzi, hakika mmenisaidia sana. Sasahivi akili yangu imetulia na nnaweza kufanya maamuzi sahihi, mbarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunitia moyo mkuu, kiukweli nilikua nimevurugika..hata ule mda naandika hii thread nilikua nimekata tamaa kabisa.Hatua ya kutoa la rohoni ni uponyaji. Naamini utavuka tu kwenye hili.
Cha msingi labda unataka nini, pesa ya biashara, ya kula, ya kodi, ya ada au..... Jaribu kuchambua hitaji lako muhimu zaidi ndio usimamie hapo. Usisimame na mahitaji mengi kwa wakati mmoja.
Kweli kabisa mkuu, ipo sehemu nilijikwaa na nmeifahamu. AsanteUkiona hivyo ujue kuna mahali umekosea. Lakini hilo si tatizo maana tunajifunza kutokana na makosa. Na hivyo basi utakuwa umeshajua mahali ulipo kosea. Nyanyuka, Jipange, Songa mbele.
Unless una ulemavu fulani, lakini kama umekamilika...huna shida. Ni swala la kujipanga tu.
Hayajakukuta
Kuna siku nilianzisha Uzi wadau wakani ignore ila ukweli ni kwamba vijana tunapitia magumu sana and no one who's care
Hayajakukuta
HayKwanza Muombe Mungu wako Samahani ili kusafisa kabisa ubongo wako uliojaa mawazo potofu. Hivi unaujua mkosi??? acha kabisa.... unakula unashiba!!!! mtukuze Mungu.
Kama nilivyosema haya mengine jipange tu. Pesa inatafutwa kwa njia nyingi. Tena kama uko dar... mtoto wa kiume huwezi kosa angalau 5,000 kwa siku ukiamua kujituma. Angalia nyumba unayoishi.... maaana isije ikawa umechukuwa nyumba nzima Sinza, halafu unalia kodi. Ishi maeneo ya kodi ndogo ili ujikusanyie mabaki kwa malengo. Hiviii ulishawaza kwa nini kuna watu wanapanga nyumba pale jangwani mabondeni???? sijasema ukapange jangwani.
Ninachokiona kwako ni mipango, hakuna cha mkosi, wala mchawi wala eti dunia sio yako..... dunia yetu as long as tuko ndani yake tukiwa hai.... let us enjoy life no matter what...
Acha ufala kwani ningejiita pandri ningekua pandri kweli, we na wenzio wote ambao hua mnaliandama hill jina hamna akili kabisa, hakuna uhusiano wowote kati ya jina na mafanikio ya mtyUmeshajiita Gundu... what do you expect?? watu wakuelewe.... yaani umejikubali na magundu yako, lazima uendelee nayo
Pole kaka unaonekana unamatatizo sanaSi kosa lako. Huna ujualo Zumbukuku ulimwengu uko huku