majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
Wakuu asanteni kwa kuchangia huu uzi, hakika mmenisaidia sana. Sasahivi akili yangu imetulia na nnaweza kufanya maamuzi sahihi, mbarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe moyo mkuu, simama kwa imani. tuliza akili yako utashinda.
Kama ulikuwa tajiri sana na mali zikapotea zote... msome mtu anaitwa Ayubu. Kama umejikuta huna mali na bado maisha magumu msome Mwanamke wa Serepta na masikini wengine waliosimama na Mungu akawainua. sio wa kwanza wewe kuingia katika hali hiyo. Jua tatizo lako chagua njia ya kujipanga. Relaxxxx life is gudoooooo, be hapi...