I don't want a married man in my life

Mtanzania mwenzangu humu wengi wamejaa wanaume za watu sasa kama unatafuta mume pole sana kama umekosa uko mtaani, sokoni, stendi, disco, bar nakazalika nikushauri tu nenda kwa nabii mwamposa, sharifu majini, gwajima na wengine wengi kaombewe
 
Mtaani hauwaoni au wewe ndo huonekani?
Watu tuna fraslesheni unakuja jf kutupa masharti ya mganga wa kienyeji kizimkazi huko eboh!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba ulitafuta mchumba humu wakaja waume za watu au mimi ndio sijaelewa kinachoendelea?[emoji134]
 
Ooooh!
 
Jamani mbona mnamjibu huyu dada vibaya hivyo?

Jamani wanaume tuwe na class kidogo!

Yaani mnachamba zaidi ya wadada tena!

Kama hamjapenda swaga zake si mpoteezi sio mnalonga kama mmepigwa funguo...

Geez!
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…