I don't want a married man in my life

Kutongozwa ni kawaida...it's you who has a choice to accept or reject the proposal...utawakatazaje wavuvi kutupa nyaya zao wakati wanapajua hapo samaki yupo?!!
Speak english why why speak english
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba ulitafuta mchumba humu wakaja waume za watu au mimi ndio sijaelewa kinachoendelea?πŸ™†
Shemejiiiiii. Kizungu hichooooo
 
hahahahaha aanzie wapi kufunga huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba ulitafuta mchumba humu wakaja waume za watu au mimi ndio sijaelewa kinachoendelea?[emoji134]
kwamba sisi waume za watu tusiende, na kama no english usipeleke pua
 
Nyenyenye nyenye speak english i don't know why these ugly stupid ignorants they do not want to speak english so i can understand them.
 

Sharing is caring my dear.
 
unatujuza ama kutuamrisha??
kwa uandishi huu hao waliokufuata mazuzu
 
Nyenyenye nyenye speak english i don't know why these ugly stupid ignorants they do not want to speak english so i can understand them.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ u'r ugly stupid your self
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…