I don't want a married man in my life

Kaaazi kweli kweli.
Eti rules and regulations. Kizungu cha chuoni sio kizungu cha maisha.
 
Mi ndio nnawapenda hawa wanaoleta nyodo hawataki mume wa mtu...unamkazaaa afu unamwambia nimeshaoa abaki na nyodo zake
 
Mi ndio nnawapenda hawa wanaoleta nyodo hawataki mume wa mtu...unamkazaaa afu unamwambia nimeshaoa abaki na nyodo zake
Kuna kosa lolote mtu akisema hataki mume wa mtu? Wanaume mna roho mbaya sana yaani raha yako kuona mtu anaumia? Unatakiwa kujua kuwa kwenye maisha kila mtu ana preferences zake, kuna wengine hawana shida whether wewe ni mume wa mtu au mume wa ng'ombe yeye hajali...kama una hamu sana ya kumsaliti mkeo si uwe na hao?
 

Tatizo ni nyodo sio preferences
 
Attention seeker utamjua tu we si unge m block huko unakuja huku kutuandikia upupu au funga pm yako oyaa wana mue mnaangalia na milupo ya kutongoza huko pm kuna jamaa ameyumba

bellend
 
Rules and regulations!
Waume za watu mnamchosha mjue, mdada funga hiyo PM yako, huku hizo rules and regulations zako lazima zivurugwe tuu
 
Kaaazi kweli kweli.
Eti rules and regulations. Kizungu cha chuoni sio kizungu cha maisha.
Hakuna chuo kinafundisha kiingereza kibovu hivi; huyu ni kahaba tu kama makahaba wa deluxe au uhindini Dom. ..
 
First of all, you ought to improve your English language grammar.
 
Others do care sana japo si kwamba naentertain.. Hapana

Sema mwisho wa siku atarudi kwake tu. Hapo ndo pabaya


Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…