kama umeelewa hiyo emoticon ... it says my..my, ni kwamba nimeshangaa... ndege mjanja kanasaJamani...jaza basi hivyo vi........!
We BOSS raha ya kutokusema ni kwamba hisia zitabaki kua nzuri siku zote.Kuliko ukisema alafu zikachakachuliwa na kubadili kila kitu.ajabu most of time huwa hatuwaelezi wahusika moja kwa mojawanasema people regrets most,for what the didnt do when there was time to do it
We BOSS raha ya kutokusema ni kwamba hisia zitabaki kua nzuri siku zote.Kuliko ukisema alafu zikachakachuliwa na kubadili kila kitu.
nilikumiss sana,im happy umerudi jamvini.Ndio mpenzi asante...niliwamiss!
..........ego ni kitu kibaya sanaHahahhaha...ndege mjanja hanaswi bwana bali anajinasisha.
first sign of ego ni kutojitambua.... but wewe hauna ego aiseeNot neccessarily.....!
Na mimi ni unlucky...