I dreamt of you...

I dreamt of you...

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
What are dreams for..?‘

To be dreamt and then forgotten...or remembered but then forsaken?!
I ask for I don‘t know..weather to hold on to them or let them go!

Your face so visible and clear...you voice so sweet to hear!
As real as it may seem...it only happens in my dreams.

The way I remember you so clearly...ohhh how your presence felt so lovely!
I wish I could relive the past..and make the good days last!
 
ajabu most of time huwa hatuwaelezi wahusika moja kwa moja

wanasema people regrets most,for what the didnt do when there was time to do it
 
Jamani...jaza basi hivyo vi........!
kama umeelewa hiyo emoticon ... it says my..my, ni kwamba nimeshangaa... ndege mjanja kanasa

kweli love is blind......
 

Attachments

  • valentines_day_emoticon.jpg
    valentines_day_emoticon.jpg
    5.8 KB · Views: 30
ajabu most of time huwa hatuwaelezi wahusika moja kwa mojawanasema people regrets most,for what the didnt do when there was time to do it
We BOSS raha ya kutokusema ni kwamba hisia zitabaki kua nzuri siku zote.Kuliko ukisema alafu zikachakachuliwa na kubadili kila kitu.
 
kama umeelewa hiyo emoticon ... it says my..my, ni kwamba nimeshangaa... ndege mjanja kanasakweli love is blind......
Hahahhaha...ndege mjanja hanaswi bwana bali anajinasisha.
 
We BOSS raha ya kutokusema ni kwamba hisia zitabaki kua nzuri siku zote.Kuliko ukisema alafu zikachakachuliwa na kubadili kila kitu.

wewe unaona hivyo
what if huyo mtu angejua hisia kwa kuambiwa
na yeye ange care zaidi?
na pengine asingeondoka
 
Back
Top Bottom