I feel like I want to die

Joined
Feb 7, 2016
Posts
42
Reaction score
11
Habari wakuu wa JF,

Thank you for your advice all of you. I know no one knows me but only those who I gave them my number, I'm not a liar as some people said, I'm not a cowered as other saying, I didn't write here yesterday so that people can have mercy with me but I wrote here because of the situation and I just wanted people to know how I feel but even now I don't know why I wrote here like that.

I asked myself today in the morning why I wrote here in jamii forum but trust me. I have change my mind and I get something new in jamii forum, I didn't have a close person who I can tell what I feel. Unajua Kuna watu walikuja inbox even wakanishauri kwa maandiko ya biblia and quraan na nikapata nguvu mpya na ujasiri mpya. Kumbe now I see that I'm not the only person who get problems and there is a lot of people who have more than this.

Kuna watu wanasema why namiliki smartphone alafu nalalammika Nina shida... Guys as I told you yesterday I was so upset to write in here but my smart some one gave me for just small amount cas I was doing my last job somewhere and I had some small money so I decided to buy it because I wanted to know and get more through internet and maybe I can get a job through some blogs and other companies so to have smartphone inarahisisha and that's why kuwa na smartphne is not like to have fun with it no but for a good reason.

Nimepata nguvu mpya na asante kwa wote mliocomment sina cha kuongeza but najilaumu Tu na kuwaza what if ningekufa Jana? But thanx to God I'm alive. Ngoja nipambane upya. Guys you don't know nguvu ya stress. Stress znaweza kukuganya ukafanya jambo la ajabu on the spot.

Kwa wale waliosema PIA kila mtu anamatatizo niache kujiliza Ni hivi sio wote tunapitia problems zinazofanana.. Inategemea ugumu gani unaopitia au watu gani ealokuzunguka. Historia pia inachangia so don't insult me because sijasema Ni yapi niliopitia ila jua ni makubwa na even nikimuadithia yoyote anaweza asiamini if Ni Mimi ndo naongea but nili survive so usiniauumu wala kuniona nadanganya.

Why nidanganye? Ili iweje? Kwa faida ya nani? Au Ni sababu ipi inifanye nidangganye? I'm not crazy and I'm not chizi... Thanx to God I'm alive.

NB: just if you can offer me any job again tashikuru zaidi hata mawazo mapya PIA tashkuru.. Na ngoja nifatilie huko na huko nione tapata wapi kazi.

Thank you.
 
Embu acha izo usiwaze kufa saiz pambana maisha ni kupambana mpaka kielewe amka tembea tafta kaz yoyote ufanye na ufanye kwa bidii sana utatoka tu pole kwa yanayokusibu
 
Hakuna kuchoka pambana pambana,, huko unapokimbilia ndo maumivu zaid,, ni moto milele hauend kupumzika,, mimi kwa umri ni mdogo but napambana vibaya yan,, kunakijikaz naweza kukuunganisha 0688419041,, uwe na nia uwezo wa kufanya,, zaidi ya yote jiweke busy kanisan au msikitin fanya kazi flani wakati ukiendelea kutafuta kazi,, don't be idle,, unaweza hata kulala huko,, stand up jitie nguvu tupambane never give up coz nilishaw pitia hiyo hali kabisa, na kutaka kujiua,, but nikasema nitapambana
 

Kujiuwa sio mwisho wa maisha in mwanzo wa maisha ya jehanamu au peponi, kabla ya kujiuwa chagua unataka kwenda wapi?...... Kujiua ni uamuzi wako sio mapenzi ya Mungu au shetani. Ni wewe unaamua hivyo. Nakushauri umkaribishe Mungu moyoni mwako na umwamini kwa moyo wako wote, atakufanyia miujiza na maajabu ya kukufanya uishi maisha mema yenye amani. Yohana 3:16.
 
I can not say a thing, i can not help, im just crying, please come back and say this is just a story, please !!!
 
HAKUNA JARIBU AMBALO MUNGU HUMPATIA MWANADAMU ASIWEKE MLANGO WA KUTOKEA,SIMAMA,JITIE NGUVU, SONGA MBELE, USIISHIE KULALAMIKA WALA KUJIUA, WAPO WALOPITIA MAGUMU KULIKO YAKO LAKINI HAWAKATI TAMAA, MUNGU ANA MAKUSUDI NA KILA MTU ALIYEMUUMBA, USIFIKIRI NI KWA NINI ULIPOTEZA SUMU ULONUNUA ILI UJIUE, AU KWANINI HUKUFA BAADA YA KUMEZA VIDONGE, UTAKUFA BAADA YA KUMALIZA KAZI ILIYOKULETA DUNIANI. UTAENDELEA KUUMIA SANA KAMA BADO UTAKUWA UNA MAWAZO YA KUKATA TAMAA.HIYO FORM SIX YAKO IWEKE PEMBENI MAANA WAPO WENGI HATA HIYO FORM SIX HAWAIJUI NA MAISHA YAO NI MAZURI KABISA, ILA VYOTE HIVYO HUJA BAADA YA JITIHADA ZA KUTOSHA. USIWAANGALIE NDUGU MAANA NAO WANA YAO.
MWENYEZI MUNGU AKUTIE NGUVU KATIKA YOTE UNAYOPITIA, NA NAAMINI ATAONESHA NJIA PALE AMBAPO KWA MACHO YA KIBINAADAMU HATUIONI NJIA.
 
Acha kuzingua wewe.

Tatizo vijana wa siku hizi wanapenda maisha rahisi sana ndio maana unalia lia mtandaoni badala ya kuangalia nini unaweza ukafanya kusogeza maisha mbele. Unalalamika mara baba mara mama, unadhani kila mtu ambae amefanikiwa au anastahimili mikikimikiki ya maisha aliachiwa urithi?

Sikuonei huruma ila umenikasirisha sana. Unaingia JF kulalamika utafukuzwa baada ya siku 5, we unadhani nani anataka kukaa na mtu asiyejishughulisha na wala haishi kulalamika? Unadhani ukienda kwa mtu ukaomba kukaa huku ukiwa hata na sh. 2000 ya kuchangia chakula hatokuvumilia maadam anakuona unahangaika?

Uza hiyo simu, chukua hela utakayopata nenda nayo Kariakoo kanunue hata chupi au boxer dosen moja au hata nusu ukachuuze mtaani. Kuwa na kauli nzuri, omba watu wakuungishe ili upate kidogo chako cha halali. Acha kulia lia ujinga, tumia akili na ujitume.
 
hv ww mleta mada unataka kujiua, huujui utamu wa ugali?
 
"
"Mtoto wa kiume unalia lia nini, acha kulalamika unanyanyashwa fighting hard uwanyanyase hao wanaokusumbua.. next ukiandika post kaza sauti"
 
Leo jioni kwenye channel moja ya Azam ya investigation discovery kama sikosei kulikuwa na kisa almost kama hiki : Kijana wa around 20 plus yrs, ambaye baada ya kumaliza chuo hajapata kazi na jambo hilo likawa linamsumbua na kumkosesha raha. Hali hii ikaanza kumuathiri psychologically licha ya kwamba yuko home na wazazi. Alianza kuwa na hasira za ajabu na kwa vitu vidogo, na kuna siku alitoka na gari ya baba yake na baada ya kuoverspeed akasimamishwa na polisi but hakusimama hadi home. Yule polisi akam trace mpaka akafika kwao na baba yake Atoka kumsikiliza ili aone jinsi ya kuyamaliza. Yule dogo akatoka na badala ya kumuacha mzee wake, ambaye anamjua alivyo na hasira, akaingilia na kuanza kubishana na polisi. Wakati ubishi ukiendelea na polisi kuamua kupiga simu kituoni yule dogo akaingia ndani kwao nakutoka na bastola akiwa ameificha na kumuua yule polisi. Baadae naye baada ya kesi ndefu alihukumiwa kunyongwa. Sasa hizi stress ni mbaya sana hasa pale vijana wanapokuwa idle. Ushauri wangu ni kwamba kama una ujuzi kidogo, Umemaliza kozi but hujapata kazi basi jitolee kwenye ofisi au kampuni iliyo jirani na maeneo ulipo kwani utapata contacts na watu na kama una bidii utatoka tuu.
 
Unajua kuendesha bodaboda?uko wapi? Hebu ni-pm tuone tunasaidiana vipi? Unaweza kupiga tofali malipo ni nguvu yako? Hukosi 15000 daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…