I feel really lonely today!

Sasa mbona muhusika hajibu jamani? Kwe li he feels lonely when he is ignoring our attempts to cheer him up?

usijali atakuja,...akipata muda wa kumuibia mhindi si unajua jamaa anafanya kibarua kwa mhindi,,,nafikiri unawafahamu wanavyobana...vuta subira

Vivian ni bia gani hiyo. Mbona wengine ni vimbambau wakubwa ila ni wanywaji wazuri.

hao wanakunywa bila kula. si unajua beer inajaza tumbo kiana. mwishowe wanaishia kuwa vimbaumbau

OF TOPIC: Hivi kimbaumbau ni kichaga au kiswahili?

Sasa mbona muhusika hajibu jamani? Kwe li he feels lonely when he is ignoring our attempts to cheer him up?

usijali atakuja,...akipata muda wa kumuibia mhindi si unajua jamaa anafanya kibarua kwa mhindi,,,nafikiri unawafahamu wanavyobana...vuta subira

Hivyo vyote ulivyoorodhesha hapo ni batili,..ni katika jitihada zane za kukampenia kupinga furaha ya wenzinu....anyway tupo na tutapambana nanyi mpaka kieleweke,....i.e namaanisha sio kweli kabisa

kweli lakini inauma. Toa faida kama mbili tu Dadiito.

kweli lakini inauma. Toa faida kama mbili tu Dadiito.

Leo hii vivy ukiondoa bia uchumi wa taifa unaanguka! Amini usiamini chanzo kikubwa sana na muhimu cha mapato ya serekali ni Kilauri...(bia) kwa njia ya kodi... zinatumika kulipa watumishi wa umma, kununulia dawa na hata bara bara zinazojengwa wana mchango mkubwa.

Faida ingine ni ya kisoshoantropolojia!

Hapo kwenye red..wanywa bia wengi wana maendeleo kama huamini just go to a simple bar lets say calabash pale mwenge af angalia wanywaji ni akina nan?

wewe na igwe nitawachapa.

nani kasema ukiondoa beer uchimi unadoror. mbona uarabuni hakuna Beer na mambo yako sawa kuliko hapa. usitaje mafuta, sisi tuna tanzanite

Hapo kwenye red..wanywa bia wengi wana maendeleo kama huamini just go to a simple bar lets say calabash pale mwenge af angalia wanywaji ni akina nan?

kule sio watu wa mvishahara, kuna madalali. jamaa wa TRA walioza kwa ufisadi.. yaani ufisadi mwanzo mwisho

usijali atakuja,...akipata muda wa kumuibia mhindi si unajua jamaa anafanya kibarua kwa mhindi,,,nafikiri unawafahamu wanavyobana...vuta subira
Igwe umenichekesha kweli...

<br /
Mkirua hilo neno hapo mwisho nimetoka kapa. Nimejaribu kulitafuta kwenye kamusi ya TUKI sijaona maana yake kabisa
Vivian kimbaumbau sijui ni kiswahili au kichagga hebu muulize Igwe

<br /
Mkirua hilo neno hapo mwisho nimetoka kapa. Nimejaribu kulitafuta kwenye kamusi ya TUKI sijaona maana yake kabisa
Vivian kimbaumbau sijui ni kiswahili au kichagga hebu muulize Igwe

ha ha ha... Rocky leo ujanja mfukoni...lol

Hio ndo matokeo ya kutohoa i think.... Neno Anthropology kwa kiswahili hilo....lol

Alafu divert kisosho to kisocho... you will get what Mkirua means...

Duh AshaDii nimeingia kichaka kabisa wala kujua kuwa anamaanisha Anthropology na sociology haipo kabisa. Duh Mkirua kaniaacha full

Afu habari yako wewe. Uko lonely na wewe

Duh AshaDii nimeingia kichaka kabisa wala kujua kuwa anamaanisha Anthropology na sociology haipo kabisa. Duh Mkirua kaniaacha full

Afu habari yako wewe. Uko lonely na wewe

Ukiona hivo ujue mtaalam wa kutohoa...

Rocky unajua kabisa mie kua lonely kazi ipo - for napewa warm fulfilling love...lol

Ila na wasi wee upo lonely ndo maana umeingia chaka...

Fanya ibada mkuu uzungumze na Muumba wako!
Utapata faraja!

<br /
Mkirua hilo neno hapo mwisho nimetoka kapa. Nimejaribu kulitafuta kwenye kamusi ya TUKI sijaona maana yake kabisa
Vivian kimbaumbau sijui ni kiswahili au kichagga hebu muulize Igwe

Mr. Rocky walatini wanasema "In vinno in caratus" = In wine Men Talks

AshaDii nimeamini ni bingwa wa kutohoa maana nilivyoona neno lenyewe nikakimbilia tuki kuangalia maana yake nikatoka kapa
Mhh haya bana mi niko lonely nusu nusu huku niko lonely ila wa ubani hayuko mbali anafanya fanya vishughuli vya hapa na pale bado muda wa kuwa pamoja

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…