I feel really lonely today!

I feel really lonely today!

AshaDii nimeamini ni bingwa wa kutohoa maana nilivyoona neno lenyewe nikakimbilia tuki kuangalia maana yake nikatoka kapa
Mhh haya bana mi niko lonely nusu nusu huku niko lonely ila wa ubani hayuko mbali anafanya fanya vishughuli vya hapa na pale bado muda wa kuwa pamoja

Some times its good... the above mimi pia..

QUOTE=Mkirua;2310815]Mr. Rocky walatini wanasema "In vinno in caratus" = In wine Men Talks[/QUOTE]

Safi sana Mkirua. Mhh mpaka kilatini mi hapo sisemi

Aud alteram parten (sijui nimekosea) hear both parties.

AshaDii yeah sometimes its good to bne lonely as it gives you time to think and rethink what will be your ultimate goal in your life.

unamaanisha fidel na aspirin ndo wana hii orodha ya matatizo?
afu ww mentor wetu umemficha wapi banaa, kizuri kula na nduguyo bibie

Nasikia eti.

Bia inazeesha haraka

bia inampa m2 hang over

Bia inamaliza pesa

Bia ina danganya macho na kumuona mama mkwe ni mrembo kama First lady

Bia ina haribu ini

Bia inampa mtu kitambi

Bia inamfanya mtu kudharaulika kama analewa kila siku

Bia inamfanya m2 kusahau matumizi ya Condom

Bia imekatazwa kwenye Biblia na quran

Bia inavunja ndoa sometimes

Bia inarudisha maendeleo nyuma

Bia inasababisha ajali kama ukilewa sana na kuendesha

Bia

Bia

Bia

Mulizeni mengine Fidel na Asprin.

wifi mbona wacheka? hujaona kule watu wamesononeshwa na mgomo wa tbl? lol

Nacheka sababu naona nisingekuwepo hapa lazima kakako angekuwepo ktk hio list?? lol

Hata mie niko lonely ..
Maybe we should hang out ...

Pole dadiito!! I just feel it for you. huwa unapendelea sana kufanya nini in your free time?
Well nimetoka job nikaenda kuzurura town kidogo did some stupid shopping then nikarudi home m feeling a lit better now. Thank u for caring cutey

Hata mie niko lonely ..
Maybe we should hang out ...

Daaaaa! U shud have said this since before the WW2 lets do it prettie

natumaini unajisikia vizuri sasa.....pole sana

natumaini unajisikia vizuri sasa.....pole sana
Yes Preta kiasi fulani i got you guys here and thats why i love JF. True people, True friends

Yes Preta kiasi fulani i got you guys here and thats why i love JF. True people, True friends

JF iko hivyo siku zote.....ukienda nayo hivyo......hata mimi ilishawahi kunitokea hali hii lakini rafiki wa JF walinirudisha kwenye mstari......tena ilikuwa live.....coz.....tulienda beyond keyboards

JF iko hivyo siku zote.....ukienda nayo hivyo......hata mimi ilishawahi kunitokea hali hii lakini rafiki wa JF walinirudisha kwenye mstari......tena ilikuwa live.....coz.....tulienda beyond keyboards
Dah hii inabidi utupe mkanda mzima ulikuwaje

Back
Top Bottom