Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
😔😔😔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Talk to somebody close, a friend or relative😔😔😔
halafu mtu anakuja kusema wadada ni mashetani wakati mashetani nisisi wanaume..🤣Yaani wanawake bana wanawajua wanawake yaani hapo Kuna nzi zitajaa mno pm huko kutaka kufariji Ila ishu kubwa ni papuchi, angekuwa mwanaume akaandika ivyo wangemkwepa wanaume wenzake.
Yaani demu akiwa broke or bankruptcy wanaume mia wako ready kumsaidia Ila mwanaume ukiwa ivyo hata mmoja humpati
toa nyau io watu wadambue😔😔😔
Tafuta mume😔😔😔
Huyo shida yake mboooo tuu hamna loloteYou are responsible for your own happiness. Find what makes you happy.
Nyuzi za Loose ball unafikaga mapema sana.Huyo shida yake mboooo tuu hamna lolote
Mimi furaha yangu niwewe japo hunitaki!, vipi hapo imekaaje hiyo..?You are responsible for your own happiness. Find what makes you happy.
Fisiii.Get laid.
Mwanaume hajaumbwa kutia huruma mkuu.Yaani wanawake bana wanawajua wanawake yaani hapo Kuna nzi zitajaa mno pm huko kutaka kufariji Ila ishu kubwa ni papuchi, angekuwa mwanaume akaandika ivyo wangemkwepa wanaume wenzake.
Yaani demu akiwa broke or bankruptcy wanaume mia wako ready kumsaidia Ila mwanaume ukiwa ivyo hata mmoja humpati
natoa ushauri kwa mtu anayeuhitaji.Fisiii.
Hapo uko una nyatia PM ila kwa nje Kama hutaki vile.