Yaani wanawake bana wanawajua wanawake yaani hapo Kuna nzi zitajaa mno pm huko kutaka kufariji Ila ishu kubwa ni papuchi, angekuwa mwanaume akaandika ivyo wangemkwepa wanaume wenzake.
Yaani demu akiwa broke or bankruptcy wanaume mia wako ready kumsaidia Ila mwanaume ukiwa ivyo hata mmoja humpati