I had a second dream, nimeota tena tukichelewa tunaweza kuchukua miaka kuliponya Taifa

I had a second dream, nimeota tena tukichelewa tunaweza kuchukua miaka kuliponya Taifa

Joined
Sep 3, 2025
Posts
5
Reaction score
3
Ni asubuhi tena iliojaa ndoto mithili ya uhalisia sijui kama naota au nilichokuwa naona ni uhalisia wa tukio bado najiuliza hadi asubuhi hii ya leo

nimeota tena kuna kundi la watu vijana kwa wazee wa makamo wakiwa kwenye harakati nzito kana kwamba ni vurugu zilizo anza

watu hawa hawasikii wala kuelewa lolote ila wanacho hitaji ni amani na uhuru wa nafsi ooh nchi yangu

ikaja sauti ikisema unawaona hawa watu vijana kwa wazee wakiachwa siku zaidi ya tatu itachukua miezi kuponya taifa na kuleta amani wakiendelea mwezi mzima itachukua miaka kuliponya taifa lenu

linalo hitajika wapewe wanacho hitaji hawahitaji mengi zaidi ya upendo haki na amani kitakacho fanyika kinyume na mahitaji ya hawa wengi zaidi yao basi itawapa hasira zaidi ya hii hawa vijana kwa wazee

sijui ni kipi kitatokea endapo hawato patiwa wanacho hitaji nawaomba isipelekwe taarifa tofauti na nini kinacho pingwa hapa kwetu na wengi walio kwenye hizo harakati nimeota tena
 
Back
Top Bottom