I hate my Ex-




Mzuanda,...hebu rudia kusoma nilipo highlight red & bold.
Am pretty sure you don't mean what you say to him, and to yourself.


Kwa kuanzia, stop contradicting yourself na huyo kaka na hizo "nataka sitaki!"
 
Ushauri wa mmwisho....... wote ninyi motoni kwenu mbingu ni kuifikia toba....

motoni kwakuwa unamchukia mwovu na kama manabii na mitume wangekuwa kama wewe je, tungepona kwa chuki uliyoitaja?...yakubidi uyaoge matapishi yake samahani watakao kuwa kwenye mlo.

Na yeye pia motoni asipoisikia sauti yako ya kumwonya ....... . halafu mwisho mimi sijakulewa pale kwenye neno ''death'' sentesi ile ilikuwa inamaana ya kabla ya ndoa au baada na kama hampo kwenye ndoa mlikuwa mnafaya uzinzi hivyo toba kabla ya kumshauri.


kwa jinsi hii hakuna atakaekwepa toba.
 

tehe tehe tehe!
haya ya kung'oana meno ni mapenzi au vita???
ha ha haaaa..msinivunje mbavu jama..kha!
 

LD unakaza mpaka kwenye kufungua shampeni,hivi kicheni pati ulipita kweli?mpaka nashindwa kutoa ushauri maana LD kanimaliza na ubepari wake ktk mapenz.
 
Mzuanda we mpotezee tu huyo mwanaume la sivyo atakulostisha aisee .km unataka asikuharibie wala kukupotezea muda,ondoa huruma uliyonayo kwake na acha mawasiliano naye.kwann usumbuke na mtu ulomkutia ukubwani?achana na hzo mambo bwn,msome vizuri LD na kumwelewa
 
uchokozi huo @ maganga mkweli
 

First, sijaja ulaya kwa kumkimbia yeye, imetokea nafasi ya kusoma ndio nikaja ulaya.

second, kuhusu contact ni ngumu ku mkwepa kwasababu most of ndugu zake ni best friends zangu, inamaana niache kuwasiliana na rafiki zangu kwa ajili yake,maana hata nikibadilisha contacts still nitataka kuwasiliana na rafiki zangu ambao watampa namba zangu.

na msaada niliouomba ni kwamba namtoaje mtu wa hivi kwenye maisha yangu wakati nilishamwambia kwamba mimi na yeye basi, tumeachana, na hivi ninavyokwambia is about 5 years ago, lakini anaweza kukaa hata mwaka mzima hajanisumbua, lakini kuna siku tu anaibuka from no where nakuanza kusumbua
 
mbona kwenye simu za siku hizi kuna sehemu waweza kumreject au kum blacklist mtu usiyetaka akupate akipiga?kila akipiga itaandika busy kwake hata upande wa msg pia hata kupata kamwe hadi atakata tamaa mwenyewe

umeongea cha maana, simu yangu haina hiyo option, ila nitaenda kutafuta hiyo simu next week
 
Soma signecha ya mrusha sredi
Ameshasema harudi, sasa ana wasi wasi wa nn?

tatizo sio wasiwasi, tatizo nifanye nini ili aache kunisumbua????? i cant change my contact???? i did everything i could, nimeshamwambia nina mwanaume mwengine lakini bado anasumbua.

ofcourse, sirudi bongo kuishi ila ni kwa matembezi tu kuja kuwaona wakina rostam na kikwete family wanavyotanua kwenye nchi yao
 
Yani huyu kaka kama namjua unless stori yake ya ulevi inafanana..pole binti, endelea na maisha yako,simple badili namba tena uko huko majuu sidhani kama unatakiwa kuwa na presha kiasi hicho!!..

hebu nipe hints
 
kwanza wewe mdada mnywa gongo hela ya kupiga simu ulaya anatoa wapi kama sio wewe unaempigia:rain:
 
u still love him ila hujioni kama bado unampenda, hadi unawaza jinsi ya kumsaidia mtu amabye mlishaachana for years! acha mawasiliano naye itakuja kukupa shida siku moja na mpenzi wako mpya we fanya masihara,
 
Things fall apart........i hate that i love you......
 
kwanza wewe mdada mnywa gongo hela ya kupiga simu ulaya anatoa wapi kama sio wewe unaempigia:rain:

ha ha ha ha!!
Kupiga simu ulaya dk moja kashapata glasi zake mbili za gongo.
 
Mzuanda.. Hebu achana na hiyo shida.. Huyo Mlevi utampeleka wapi? Labda aokoke ndio ataacha GONGO kwani MUNGU anaweza yote.. Kama katengwa na kila mtu, na wewe mtenge... Angalia maisha mbele... AMUA moja.
 

Ni kweli,
Huyu mdada ana tatizo ambalo wengi tu wanalo, kufanya maamuzi yanayohitaji akili kwa kutumia moyo/ feelings.

Kuna mtu hapo juu kashauri akae atafakari kama huyo kaka ni wa faida kwake aendelee nae, kama si wa faida amuache.

Nisichoelewa ni kwanini unadai umemuacha, lakini bado una maasiliano nae. Mtu ukishampenda mtu kwa moyo wako, ili uweze kupona broken heart, inabidi UKATE MAWASILIANO kwa muda wa kutosha, sasa wewe unakaa mbali, lakini simu na msg zake unapokea na kujibu, unadhani kuwa mtaweza ku move on?
Umesema unampenda kama best friend, una maana gani? hapo bado hamjaachana, ndo sababu anakuabuse,
hebu jitahidi dada, jipe moyo, ni ngumu,
ila fanya maamuzi,
weka mkakati wa kutokupokea simu yake, au kujibu msg yake hata moja.
jitahidi, tafuta marafiki wengine, au vitu vya kupoteza mawazo, atapata wazo la kutafuta mpenzi mwingine.

Naona kama unakosa kampani vile.
 
bado unampenda, kama humpendi usingempigia hata simu, change your namba and moveon with your life if you have guts.
 

Unajua nini!!!! Macho yanaongea!!! Na kwa kawaida kinachosemwa na macho ni tofauti kabisa na kinachosemwa na nafsi yako!!! Natumai unayo dressing table au kioo. Fanya jaribio rahisi tu. Tazama kioo chako cha kujitazamia, kisha sema simtaki na namchukia mchumba wangu wa zamani. Wakati ukisema hayo yatazame macho yako kwa makini ili uje je yanakubaliana na kinachosemwa na mdomo wako kutoka moyoni mwako???!!!!!!, ya kwamba humpendi mwenzi wako wa zamani!!! Ukishapata jibu njoo tena hapa jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…