I hate Siku ya Wapendanao

I hate Siku ya Wapendanao

Status
Not open for further replies.
kwani we unajua jina lake zaidi ya mwenyewe jamani Boss?

hiyo ni very famous quote ya waislam..
maana yake mungu akisema kitu kuwa kinakuwa.
qun faya qun.
ukichunguza kuna mabasi,vibajaji na malori pia yameandikwa hiyo nukuu....

jaribu chunguza leo.
 
Pearly asante sana kwa ushuri mzuri..ninauzingatia.Thank you once again.FirstLady tangu kipindi hivho sijaamua rasmia kuwa na mtu..nimeamua kuwa peke yangu.

Pole ukitulia na ukafocus kwenye maisha, mbona watakuja wenyewe utakuwa na kazi ya kuchagua tu
 
Boss kwa uchokozi,muache bht wangu.Mbona unamfuatafuata hivyo?bht asikusumbue huyu mtu mwenyewe boss atakututuma mpaka ukome.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom