Ndugu yangu jaribu kutuliza akili kidogo,kwa iyo pesa unaweza kufanya biashara nyingi tu lakini kwa kuanzia.jaribu kutembelea soko la hisa DSM uangalie kama unaweza kununua hisa.Kwa upande wa kilimo unaweza lima vitunguu iringa na Morogoro vinalipa sana.Pia jaribu kucheki na hii link.Africa Do Business, Start a Business in Africa, Best places to invest in AfricaBeloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!
C.T.U Naomba niwe tofauti kidogo na wewe kwenye uvuvi, hivi kashfa ya mapanki Mwanza ilitokana na nini? Huku Kilwa Wacongo wanahamisha dagaa mchanga kila siku, au Kilwa sio Tz, hivi Magufuli alikamata meli ktk bahari ya Msumbiji? Mkuu, kwa taarifa yako, samaki wanavuliwa ile mbaya, iwe ziwani, mitoni( nenda kilombero uone kilio cha Wandamba),baharini na visimani !!!!.
Ila kwa idea ya kuvua majongoo,pweza,kamba kochi na ukasafirisha nje, inalipa vizuri.
..Mkuu CTU, wakati hapo pa kumuomba tajri vocha pamenichekesha..:smile-big:...hapo pa kuweka pesa fixed Account Pamenisisimua.
Kwa uzoefu wako ni Bank gani ambayo sasa hivi ina faida nzuri na kiasi gani say ukiweka Milioni Mia 2 za Kibongo kwa hiyo miezi Mitatu?
Natanguliza Asante.
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!
Tuliza ball
Utaibiwa sasa hivi upatwe na strock
mjini hapa we weka banki fixed
interest ya miezi mitatu ni pesa nzuri sana ..
subiri baada ya miezi mitatu.
sasa chukua hiyo pesa ya interest ya miezi mitatu ya kwanza then mtafute
faiza foxy akuandikie business plan ya mradi ambao utatafuta partners wa nje muinie ubia then sasa hapo ndipo utakapoweka hata 100,000 usd ili na wewe uwe na asilimia kadhaa za umiliki wa huo mradi huku ukiacha partners wakiweka lets say
usd 2 millions
na biashara ambayo mie ningekushauri kuifanya ni
UVUVI yes uvuvi tuna maziwa , mito na bahari Uvuvi ni bonge la business ila hakuna mtu aliyeshtukia
so tafuta andika mradi, tafuta investors nunueni MELI yes MELI
muanze kazi
kununua meli tembelea hapa
SHIPS FOR SALE
halafu ni pm unirushie vocha ya kukupa consultation
hahahaha just kiddin...
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!
Tafuta maeneo yenye vitalu vya aidha almasi, dhahabu au madini mengine
nenda wizara ya nishati na madini pale watakuonyesha maeneo yale
ya study vizuri andaa $5,000 - $20,000 ya kuandika huo mradi hapo pia kuna gharama za consultant, business plan writer wako, mtu anayekusaidia kufanya feasibility study, nauli ya kwenda abroad kuongea na mwekezaji ambaye atakuwa kapatikana
(best conversation of all time ni conversation ya face to face)
tafuta mwekezaji wa kuingia ubia nae ukiona kuna uwezekano wa kupata mwekezaji nunua kitalu hiko
muingie ubia na muwekezaji mchimbe
baada ya miaka mitatu unipe lift kwenye evogue yako
mkuu gharama ya project kama hii ni kiasi gani? am interested
mwana nakukubali sana kwani umempa ushauri mzuri sana huyo mtu akama ataufuata atafanikiwa
Wapendwa napenda wazo uvuvi na hata kuweka the sum kwenye fixed deposite. Lakini mwalionaje wazo la ufugaji wa samaki, ambalo labda si lazima lihitaji kiasi chote hicho (meaning waweza kuweka salio kwenye fixed deposit); hebu tujadili hili na mawazo mengine mnayoweza kuwa nayo.
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!
msukule mkubwa wewe!
umepataje hizo dalari laki2?? zimeshuka tu? umekwapua?? umedhulumu???? sembe???
basi endelea na biashara yako hiyohiyo iliyokusaidia kuzipata hizo pesa na sio kuja kuleta usukule wako hapa au kusanifu watu hapa!!