I have 200,000 USD

I have 200,000 USD

Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!
Ndugu yangu jaribu kutuliza akili kidogo,kwa iyo pesa unaweza kufanya biashara nyingi tu lakini kwa kuanzia.jaribu kutembelea soko la hisa DSM uangalie kama unaweza kununua hisa.Kwa upande wa kilimo unaweza lima vitunguu iringa na Morogoro vinalipa sana.Pia jaribu kucheki na hii link.Africa Do Business, Start a Business in Africa, Best places to invest in Africa
 
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!

Mkuu Msengapavi.
Nimekutumia private message (PM) ya proposal yangu.

Thanks.
 
Mimi ni mtaalam wa Project Management. Natoa business advisory services kwa wafanya biashara. Nawaandalia business plans kwa ajili ya miradi yao kwa ajili ya kuendesha biashara zao kwa faida; kwa ajili ya kupata mikopo; na kadhalika. Naweza kukusaidia kama unaweza kuwasiliana na mimi thru email: donald.asheri@gmail.com
Nafanya kazi hii at a fee. Asante
 
If you are serios, biashara ya magari DRC na Zambia inalipa sana. Nenda Lubumbashi na Lusaka, fungua yard za magari kama mbili, order gari kutoka Japan (unaweza kusafiri kabisa). Gari moja ya dolar $ 2000 Japan unaweza kupata mpaka margin ya $2,000 kwa kuuza DRC. Ukiona risk kubwa kufanyia biashara DRC au Zambia, fungua yard Tunduma.
 
wewe utakua mbeshi tu, hii umeitoa wapi???
 
Si tunatafuta pesa tufanye busness we hujui kweli penye miti hapana wajenzi! Tafuta company au kiwanda chochote kw dar au nje uwe suppliyer wa bidhaa husika mkoani, mfano mbeya, au iringa au njoo mkoani tuanzishe kiwanda cha Unga, juice, maji ya kunywa, nk. Nyingne unaweza kuwekeza ktk usafirishaji mizigo au abiria njoo Tunduma nunua basi 2 anzisha rout ya Tunduma to Songea. Nina fikra nying sn mkuu!
 
C.T.U Naomba niwe tofauti kidogo na wewe kwenye uvuvi, hivi kashfa ya mapanki Mwanza ilitokana na nini? Huku Kilwa Wacongo wanahamisha dagaa mchanga kila siku, au Kilwa sio Tz, hivi Magufuli alikamata meli ktk bahari ya Msumbiji? Mkuu, kwa taarifa yako, samaki wanavuliwa ile mbaya, iwe ziwani, mitoni( nenda kilombero uone kilio cha Wandamba),baharini na visimani !!!!.

Ila kwa idea ya kuvua majongoo,pweza,kamba kochi na ukasafirisha nje, inalipa vizuri.

Amesema anatania huoni alivyomalizia?
 
Last edited by a moderator:
..Mkuu CTU, wakati hapo pa kumuomba tajri vocha pamenichekesha..:smile-big:...hapo pa kuweka pesa fixed Account Pamenisisimua.

Kwa uzoefu wako ni Bank gani ambayo sasa hivi ina faida nzuri na kiasi gani say ukiweka Milioni Mia 2 za Kibongo kwa hiyo miezi Mitatu?
Natanguliza Asante.


swali zuri sana kila bank zina rate zake mkuu na rate zinabadilika mara kwa mara
mie ushauri wangu ni huu
nenda bank kama Crdb, Nbc pale ndipo utapata ushauri wa kitaalamu kuhusu uwekaji wa fixed deposit
mie nimekupa tu moja, mbili na tatu, nne, tano sita mpaka kumi nenda bank uulizie...
 
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!

Ilooooh, litapeli! upati mtu hapa.
 
Kijana tafuta bank weka fixed kw miez 3 au 6 then tafuta business pole pole huku unapata riba na pesa ipo salama ... Tafuta bank kama FNB Bank utapata riba zuri sana.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mwana nakukubali sana kwani umempa ushauri mzuri sana huyo mtu akama ataufuata atafanikiwa
Tuliza ball
Utaibiwa sasa hivi upatwe na strock

mjini hapa we weka banki fixed

interest ya miezi mitatu ni pesa nzuri sana ..
subiri baada ya miezi mitatu.

sasa chukua hiyo pesa ya interest ya miezi mitatu ya kwanza then mtafute
faiza foxy akuandikie business plan ya mradi ambao utatafuta partners wa nje muinie ubia then sasa hapo ndipo utakapoweka hata 100,000 usd ili na wewe uwe na asilimia kadhaa za umiliki wa huo mradi huku ukiacha partners wakiweka lets say

usd 2 millions


na biashara ambayo mie ningekushauri kuifanya ni
UVUVI yes uvuvi tuna maziwa , mito na bahari Uvuvi ni bonge la business ila hakuna mtu aliyeshtukia


so tafuta andika mradi, tafuta investors nunueni MELI yes MELI

muanze kazi

kununua meli tembelea hapa

SHIPS FOR SALE


halafu ni pm unirushie vocha ya kukupa consultation

hahahaha just kiddin...
 
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!

If ur serious, find me no_ 0714-074040
we have alot of ideaz in our Company Omega Recruitment & Job Search.
Wil see how can share one of our ideaz & we benefit together.
 
mkuu gharama ya project kama hii ni kiasi gani? am interested


Tafuta maeneo yenye vitalu vya aidha almasi, dhahabu au madini mengine

nenda wizara ya nishati na madini pale watakuonyesha maeneo yale

ya study vizuri andaa $5,000 - $20,000 ya kuandika huo mradi hapo pia kuna gharama za consultant, business plan writer wako, mtu anayekusaidia kufanya feasibility study, nauli ya kwenda abroad kuongea na mwekezaji ambaye atakuwa kapatikana
(best conversation of all time ni conversation ya face to face)

tafuta mwekezaji wa kuingia ubia nae ukiona kuna uwezekano wa kupata mwekezaji nunua kitalu hiko
muingie ubia na muwekezaji mchimbe

baada ya miaka mitatu unipe lift kwenye evogue yako
 
mkuu gharama ya project kama hii ni kiasi gani? am interested

Nenda wizara ya Nishati na Madini upande wa madini watakupa nondo hizo

au unaweza anza TIC ila na wao watakushauri uanzie Wizarani (Nishati Na Madini)
 
Wapendwa napenda wazo uvuvi na hata kuweka the sum kwenye fixed deposite. Lakini mwalionaje wazo la ufugaji wa samaki, ambalo labda si lazima lihitaji kiasi chote hicho (meaning waweza kuweka salio kwenye fixed deposit); hebu tujadili hili na mawazo mengine mnayoweza kuwa nayo.

Kama unaweza kufanya fish farming kwa huku Dar italipa na ni endelevu,ushindani ni kama haupo kabisa kwa sababu biashara ya samaki wa maji baridi ndio inaanza kwa mbali. Cha msingi tusaidiane kutafuta maeneo yenye maji ya kudumu ili kuifanya iwe biashara ya faida. Njoo mkuranga nikuonyeshe maeneo yenye maji uyanunue na ufuge samaki. Mimi niko hatua za awali.
 
fuga kuku wa mayai.wanalipa sana.mfano mkoani tabora trei ya mayai ni 7000.huu mradi unalipa na pesa uhakika......
 
Beloved I have the amount on the subject line and would like some business suggestions from whosoever is kind enough to give one. I will disclose my true identity to and even partner with the one will give me the best idea!

Ungana na mwenzako ana 250m hajui afanyeje,ila hana any bisness na hafanyi biznes yeyote ila ana maduka ya m-pesa na tigo pesa pia ana nyumba ana pangisha wazungu ebu check nae hili wote msubiri ushauri...
 
msukule mkubwa wewe!

umepataje hizo dalari laki2?? zimeshuka tu? umekwapua?? umedhulumu???? sembe???


basi endelea na biashara yako hiyohiyo iliyokusaidia kuzipata hizo pesa na sio kuja kuleta usukule wako hapa au kusanifu watu hapa!!

Aisee kwanini unatimua wawekezaji kwa lugha mbaya? Unavyosema wewe ni kwamba mtu hawezi kuwa na hela ambayo haina kazi?
 
Back
Top Bottom