I HAVE A DREAM: Paschal Mayalla kuwa msemaji wa Serikali kumrithi Dr Abbas

Pascal ni Mgalatia hawezi kumuweka nafasi hiyo. Unajuwa kuna nafasi zile za kusema uongo na kufanya maovu kupindukia basi wanawekwa Waizlamu ili wazaraulike katika jamii. Tizama Jaji mkuu anavotizama sheria na hukumu zinavoendeshwa na yeye anatizama tu huku msemaji mkuu kazi kusema uwongo tu!
 
Namuombea Paskall apate nafasi hiyo ili humu jukwaani tuwe tunampa makavu na tunampongeza pale atakapo fanya vyema
 
Ok tunakula Ugal kwanza kabla hajapewa kiti
IMG-20170712-WA0022.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuombea sana asiipate, ataharibikiwa uwezo wake wa kufikiri lakini pia anaweza kuja kuwa kama yule msemaji wa Serikali ya Saddam Hussein wakati ikiagukia mikononi mwa Wamarekani, Mayalla omba sana ndoto hii ibaki kuwa ndoto tu.
Hizo ni ndoto nilizoota usiku wa manane ya tarehe 9/2/2020 ambapo Paschali Mayalla kuwa msemaji nilipoamuka sikushangaa maana mtu ninayemuongelea ana uwezo mkubwa sana na anastahili

Back
Top Bottom