Kwa wale wenye ujuzi naomba ushauri if I can achieve this.
mbona project ime feli kabla ujaanzaHabari, Jaman nimepata mawazo fulan hivi.
Kwanza nianze kwa kutamka kuwa Mimi si mtaalamu wa maswala ya information technology, but ni mtumiaji mzuri Wa hizi huduma wanazotuletea, katika hii fani niliyonayo nimepata wazo la kutoa huduma kupitia nyanja hii ya IT, nikiwa na lengo la kushirikiana na makampuni ya mawasiliano eg Vodacom.
Kwa wale wenye ujuzi naomba ushauri if I can achieve this.
Nawasilisha. (Kama kuna mtu atahitaji maelezo zaidi ntajitahidi kutoa kadri ya uelewa wangu)
Ahaha. Una maswali ya kichimvi. Kwani kupost inatakiwa mchana tu?
Hapana!
Hata usiku!.
Nimekariri ving'asti saa hz bd wanauchauchapa
Mie korokoroni kaka. Kuwa mpole
Hallo Yaasar post yako haijaonyesha wazo ulilonalo, na kwa kukushauri kama unaona ni kitu kinachoweza kufanyika, mtafute "expert" zaidi yako kwenye masuala ya IT na umshirikishe. ila uwe makini unavyoelezea wazo lako, jitahidi kutokuliezea completely in full bali mpe hints tu maana unaweza shangaa umeibiwa wazo just like that. wish you all the best.