Habari, Jaman nimepata mawazo fulan hivi.
Kwanza nianze kwa kutamka kuwa Mimi si mtaalamu wa maswala ya information technology, but ni mtumiaji mzuri Wa hizi huduma wanazotuletea, katika hii fani niliyonayo nimepata wazo la kutoa huduma kupitia nyanja hii ya IT, nikiwa na lengo la kushirikiana na makampuni ya mawasiliano eg Vodacom.
Kwa wale wenye ujuzi naomba ushauri if I can achieve this.
Nawasilisha. (Kama kuna mtu atahitaji maelezo zaidi ntajitahidi kutoa kadri ya uelewa wangu)