KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Kama mtu analifanya better it means ni wazo jipya tayari. Mfano watu wamezoea wanapeleka machungwa yao kariakoo labda kwa fuso. Wewe ukagundua njia ya kupeleka yale machungwa kwa kutelport ambayo ni cheaper zaidi. Ingawa task ni ile ile ya kupeleka machungwa lakini wazo jipya limekuja jinsi yua kuyasafirisha.:msela:Kuna probability kubwa una-daydream, hamna wazo mtu atafikiria ambalo halijawazwa na mtu mwingine, siku hizi hua tunafanya tu ambayo wengine wamefanya either better au walifikiria lakini hawakuimplement, sasa wewe upo category ya pili, afu wazo lako laweza kua baya vilevile au halitekelezeki ndo maana hamna mweye muda nalo hadi sasa... Unless u prove me otherwise ntakushauri kwa sasa neda kasome miaka kadhaa ijayo ukisema una wazo unaamka na kuanza kuliimplement mwenyewe...
Hallo Yaasar post yako haijaonyesha wazo ulilonalo, na kwa kukushauri kama unaona ni kitu kinachoweza kufanyika, mtafute "expert" zaidi yako kwenye masuala ya IT na umshirikishe. ila uwe makini unavyoelezea wazo lako, jitahidi kutokuliezea completely in full bali mpe hints tu maana unaweza shangaa umeibiwa wazo just like that. wish you all the best.
huyu jamaa anaogopa kuibiwa hiyo idea ndo nilichoona. Wengi tuna ideas ila huwa tunaogopa kuzishare in a straight forward manner kwa kuogopa kuzungukwa. Kwa hiyo tunakuja hapa tunakuwa tunauliza vitu kwa ku probe bila kusema intention yetu ni nini. Kwa hiyo naweza nikaja hapa na swali la kuuliza how many people wanaingia pale muhimbili in a day. Nikishauliza kuna watu wanaweza wakaja wakanielekeza napoweza kupata right data. Pia watakuja wenye akili ndogo nao watasema kwani we boko haramu. Ila poa tu maisha yanaendelea. Ila objective yangu inakuwa ni kulink informnmation nayopata na business idea yangu. Lakini muda ule huwa sisemi nataka kwenda kufanya nini muhimbili
kula tano mwana , reply of the year