I have an Idea: Nahitaji ushauri, maoni

I have an Idea: Nahitaji ushauri, maoni

mkuu hebu pangilia vizuri bandiko lako tulielewe kisha tukusaidie unataka nini

maana mawazo ya biashara yako mengi sasa umeongea vitu visivyoeleweka
ninashindwa kutoa maoni yangu hapa

uenda ikawa monday.jpg
 
Kuna probability kubwa una-daydream, hamna wazo mtu atafikiria ambalo halijawazwa na mtu mwingine, siku hizi hua tunafanya tu ambayo wengine wamefanya either better au walifikiria lakini hawakuimplement, sasa wewe upo category ya pili, afu wazo lako laweza kua baya vilevile au halitekelezeki ndo maana hamna mweye muda nalo hadi sasa... Unless u prove me otherwise ntakushauri kwa sasa neda kasome miaka kadhaa ijayo ukisema una wazo unaamka na kuanza kuliimplement mwenyewe...
Kama mtu analifanya better it means ni wazo jipya tayari. Mfano watu wamezoea wanapeleka machungwa yao kariakoo labda kwa fuso. Wewe ukagundua njia ya kupeleka yale machungwa kwa kutelport ambayo ni cheaper zaidi. Ingawa task ni ile ile ya kupeleka machungwa lakini wazo jipya limekuja jinsi yua kuyasafirisha.:msela:
 
Huyu jamaa anaogopa kuibiwa hiyo idea ndo nilichoona. Wengi tuna ideas ila huwa tunaogopa kuzishare in a straight forward manner kwa kuogopa kuzungukwa. KWa hiyo tunakuja hapa tunakuwa tunauliza vitu kwa ku probe bila kusema intention yetu ni nini. KWa hiyo naweza nikaja hapa na swali la kuuliza how many people wanaingia pale muhimbili in a day. Nikishauliza kuna watu wanaweza wakaja wakanielekeza napoweza kupata right data. Pia watakuja wenye akili ndogo nao watasema kwani we Boko Haramu. Ila poa tu maisha yanaendelea. Ila objective yangu inakuwa ni kulink informnmation nayopata na business idea yangu. Lakini muda ule huwa sisemi nataka kwenda kufanya nini muhimbili
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Hallo Yaasar post yako haijaonyesha wazo ulilonalo, na kwa kukushauri kama unaona ni kitu kinachoweza kufanyika, mtafute "expert" zaidi yako kwenye masuala ya IT na umshirikishe. ila uwe makini unavyoelezea wazo lako, jitahidi kutokuliezea completely in full bali mpe hints tu maana unaweza shangaa umeibiwa wazo just like that. wish you all the best.

Thanks; nashukuru kwa kunielewa na kwa ushauri wako pia; nimeanza kuufanyia kazi ; naendelea poa; more thanks!!
 
huyu jamaa anaogopa kuibiwa hiyo idea ndo nilichoona. Wengi tuna ideas ila huwa tunaogopa kuzishare in a straight forward manner kwa kuogopa kuzungukwa. Kwa hiyo tunakuja hapa tunakuwa tunauliza vitu kwa ku probe bila kusema intention yetu ni nini. Kwa hiyo naweza nikaja hapa na swali la kuuliza how many people wanaingia pale muhimbili in a day. Nikishauliza kuna watu wanaweza wakaja wakanielekeza napoweza kupata right data. Pia watakuja wenye akili ndogo nao watasema kwani we boko haramu. Ila poa tu maisha yanaendelea. Ila objective yangu inakuwa ni kulink informnmation nayopata na business idea yangu. Lakini muda ule huwa sisemi nataka kwenda kufanya nini muhimbili

kula tano mwana , reply of the year
 
Back
Top Bottom